Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Kama umekwama popote kuomba hizi kazi njoo nakufanyia hii kazi ndani ya nusu saa,,, tatizo haswa ni network(low speed internet), aina ya browser, device unayotumia, os type,,, pia kingine kuna matatizo madogo madogo ukishaingia ndani baada ya ku-register unaweza kukwama.
 
kama umekwama popote kuomba hizi kazi njoo nakufanyia hii kazi ndani ya nusu saa,,, tatizo haswa ni network(low speed internet), aina ya browser, device unayotumia, os type,,, pia kingine kuna matatizo madogo madogo ukishaingia ndani baada ya ku-register unaweza kukwama.
mkuu sorry bhn kiukwel mi nmekwama nahitaj msaada wako, nataka nije unisaidie ntakupata pataj? km hutojal nsaidie mawasiliano yako inbox, thanks
 
Mimi nimeweka sita ikakubali,maana ilikuwa inanionesha sijamliza,nilivyongeza mikoa ikafika sita nikasave iakukubali,ikawa locked yaani siwezi edit tena.
Hivi ukishamaliza kuna sehem ya kusbmitt au ndo ikikwambia APPLICATION COMPLETED CONGRATULATION ndo tayari au bado ?
 
kama umekwama popote kuomba hizi kazi njoo nakufanyia hii kazi ndani ya nusu saa,,, tatizo haswa ni network(low speed internet), aina ya browser, device unayotumia, os type,,, pia kingine kuna matatizo madogo madogo ukishaingia ndani baada ya ku-register unaweza kukwama.
Unafanya kwa sh ngapi?
 
Rudi nyuma "back" then gonga next kurudi hapo ulipokwamia. Ni network tu means haijaload sawasawa hivo vitu...
So rudia and you'll get it
Hivi ikikwambia APPLICATION COMPLETED, CONGRATULATION ndo inatakuwa tayari ishawafikia au bado ?
 
kama umekwama popote kuomba hizi kazi njoo nakufanyia hii kazi ndani ya nusu saa,,, tatizo haswa ni network(low speed internet), aina ya browser, device unayotumia, os type,,, pia kingine kuna matatizo madogo madogo ukishaingia ndani baada ya ku-register unaweza kukwama.
Mkuu hivi ikikwambia APPLICATION COMPLETED, CONGRATULATION, ndo tayari ushamalizana nao au kuna kipengele kingine ?
 
Asanteni wakuu nimefanikiwa na nimepoke masage hii ila pia baada ya kusubmit nikitaka kuclose napokea massage ina onyesha incomplete application
IMG-20200911-WA0002_1599838018865.jpeg
 
hapo umesha kamilisha mkuu...ikiwa bado inasoma incomplete application...
Naomba nisaidie ikiandika incomplete nifanyeje maana baada ya kuchagua masomo ikaniletea imefanikiwa ila sasa nilivyosubmit ina leta incomplete
 
Naomba nisaidie ikiandika incomplete nifanyeje maana baada ya kuchagua masomo ikaniletea imefanikiwa ila sasa nilivyosubmit ina leta incomplete
log out then log in tena kama bado angalia kwenye hiyo form upande wa choice pandisha tena application letter halafu save....BINGO
 
Yaani nimefikia kwenye kuweka details za form 4 nikitaka kusevu inanambia "APPLICANT DETAILS NOT FOUND" yaani kila nikijaribu inakwama tu hainiruhusu kuweka cha form 6. Hii system yao shida kweli jamani
Capture.PNG
 
Back
Top Bottom