Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Kweli mkuu mi nliweka kaambiwa error,applicant details not found,je tatizo ni network au nini mkuu?Hii kuweka namba za form 4 half usave ipo shughuli hapo tena si ndg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu mi nliweka kaambiwa error,applicant details not found,je tatizo ni network au nini mkuu?Hii kuweka namba za form 4 half usave ipo shughuli hapo tena si ndg
S0000-0000/2009 weka kwa format hiyoKweli mkuu mi nliweka kaambiwa error,applicant details not found,je tatizo ni network au nini mkuu?
Network..hainyonyi diteilz za necta kwenye huu mfumo ili uendeleeKweli mkuu mi nliweka kaambiwa error,applicant details not found,je tatizo ni network au nini mkuu?
FirefoxNa browser gan unatumia.
mkuu sorry bhn kiukwel mi nmekwama nahitaj msaada wako, nataka nije unisaidie ntakupata pataj? km hutojal nsaidie mawasiliano yako inbox, thankskama umekwama popote kuomba hizi kazi njoo nakufanyia hii kazi ndani ya nusu saa,,, tatizo haswa ni network(low speed internet), aina ya browser, device unayotumia, os type,,, pia kingine kuna matatizo madogo madogo ukishaingia ndani baada ya ku-register unaweza kukwama.
Hivi ukishamaliza kuna sehem ya kusbmitt au ndo ikikwambia APPLICATION COMPLETED CONGRATULATION ndo tayari au bado ?Mimi nimeweka sita ikakubali,maana ilikuwa inanionesha sijamliza,nilivyongeza mikoa ikafika sita nikasave iakukubali,ikawa locked yaani siwezi edit tena.
Unafanya kwa sh ngapi?kama umekwama popote kuomba hizi kazi njoo nakufanyia hii kazi ndani ya nusu saa,,, tatizo haswa ni network(low speed internet), aina ya browser, device unayotumia, os type,,, pia kingine kuna matatizo madogo madogo ukishaingia ndani baada ya ku-register unaweza kukwama.
Hivi ikikwambia APPLICATION COMPLETED, CONGRATULATION ndo inatakuwa tayari ishawafikia au bado ?Rudi nyuma "back" then gonga next kurudi hapo ulipokwamia. Ni network tu means haijaload sawasawa hivo vitu...
So rudia and you'll get it
Ndo tayariHivi ikikwambia APPLICATION COMPLETED, CONGRATULATION ndo inatakuwa tayari ishawafikia au bado ?
Mkuu hivi ikikwambia APPLICATION COMPLETED, CONGRATULATION, ndo tayari ushamalizana nao au kuna kipengele kingine ?kama umekwama popote kuomba hizi kazi njoo nakufanyia hii kazi ndani ya nusu saa,,, tatizo haswa ni network(low speed internet), aina ya browser, device unayotumia, os type,,, pia kingine kuna matatizo madogo madogo ukishaingia ndani baada ya ku-register unaweza kukwama.
Ndio tayari walioomba wanadai ndio inakuwa umemalizaHivi ukishamaliza kuna sehem ya kusbmitt au ndo ikikwambia APPLICATION COMPLETED CONGRATULATION ndo tayari au bado ?
Itakua unachangia bando tu.Unafanya kwa sh ngapi?
hapo umesha kamilisha mkuu...ikiwa bado inasoma incomplete application...Mkuu hivi ikikwambia APPLICATION COMPLETED, CONGRATULATION, ndo tayari ushamalizana nao au kuna kipengele kingine ?
Naomba nisaidie ikiandika incomplete nifanyeje maana baada ya kuchagua masomo ikaniletea imefanikiwa ila sasa nilivyosubmit ina leta incompletehapo umesha kamilisha mkuu...ikiwa bado inasoma incomplete application...
log out then log in tena kama bado angalia kwenye hiyo form upande wa choice pandisha tena application letter halafu save....BINGONaomba nisaidie ikiandika incomplete nifanyeje maana baada ya kuchagua masomo ikaniletea imefanikiwa ila sasa nilivyosubmit ina leta incomplete
Kwa hiyo solution yake ni nini ?Network..hainyonyi diteilz za necta kwenye huu mfumo ili uendelee
Ni kuvuta subiraKwa hiyo solution yake ni nini ?