ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Chanzo changu cha uhakika kutoka wizarani kimeniarifu kwamba nafasi za ajira zilizotakiwa ni 6,000 hiyo 5,000 ya juu ilikuwa geresha la kutafutia mitano tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatuna shida kama hoja yako kweli itajulikanaChanzo changu cha uhakika kutoka wizarani kimeniarifu kwamba nafasi za ajira zilizotakiwa ni 6,000 hiyo 5,000 ya juu ilikuwa geresha la kutafutia mitano tena
Hizi Ajira leo au Kesho Tamisemi Wataachia Majina tulieni.
Acha uongo weweChanzo changu cha uhakika kutoka wizarani kimeniarifu kwamba nafasi za ajira zilizotakiwa ni 6,000 hiyo 5,000 ya juu ilikuwa geresha la kutafutia mitano tena
Wala hata Hawana stress, sema tu maji ukishayavulia nguo sharti uyaoge!In shaaa Allah,iwe hivyo mkuu ili hawa walimu wetu walio na stress za hii mishe waujue ukweli maisha mengine yaendele. Nna uhakika watakaolia ni wengi kuliko watakaoshangilia humu.
Hilo kwel ndugu nikama wametufunga miguu,hakuna mwenye stress kama vita ya maisha tunaijua ila watoe kila amove onWala hata Hawana stress, sema tu maji ukishayavulia nguo sharti uyaoge!
Wote tunafaham hizi mishe, kwa yoyote aliyeomba lazm awe mzito kumove on mpaka majina yatakapo toka.
Na asilimia kubwa wanaotoa Updates humu wako sahihi, sema tu JPM hatabiriki, anabadilikabadilika mnooo.
Wala hata Hawana stress, sema tu maji ukishayavulia nguo sharti uyaoge!
Wote tunafaham hizi mishe, kwa yoyote aliyeomba lazm awe mzito kumove on mpaka majina yatakapo toka.
Na asilimia kubwa wanaotoa Updates humu wako sahihi, sema tu JPM hatabiriki, anabadilikabadilika mnooo.
Chanzo changu cha uhakika kutoka wizarani kimeniarifu kwamba nafasi za ajira zilizotakiwa ni 6,000 hiyo 5,000 ya juu ilikuwa geresha la kutafutia mitano tena.
Vipi mku wameachia? Jaribuni kukaa na ujinga wenu huko mliko😀😀😀😀Hizi Ajira leo au Kesho Tamisemi Wataachia Majina tulieni.
😀😀😀😀😀😀😀 Ujinga Gani sasVipi mku wameachia? Jaribuni kukaa na ujinga wenu huko mliko😀😀😀😀
Rudia kilichokiandikwa kwenye ile komenti utaelewa nilichokimaanisha😀😀😀😀😀😀😀 Ujinga Gani sas
Ongeza sauti mkuu huku nyuma hawajakusikia!Ajira zimefutwa hakuna ajira, vijana tafuteni Cha kufanya serikali ya Jiwe haina fedha za kuajiri.
Asante Kwa taarifa Mh. Katibu wa Ofisi ya Rais.Ajira zimefutwa hakuna ajira, vijana tafuteni Cha kufanya serikali ya Jiwe haina fedha za kuajiri.