Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Chanzo changu cha uhakika kutoka wizarani kimeniarifu kwamba nafasi za ajira zilizotakiwa ni 6,000 hiyo 5,000 ya juu ilikuwa geresha la kutafutia mitano tena.
 
Hizi Ajira leo au Kesho Tamisemi Wataachia Majina tulieni.

In shaaa Allah,iwe hivyo mkuu ili hawa walimu wetu walio na stress za hii mishe waujue ukweli maisha mengine yaendele. Nna uhakika watakaolia ni wengi kuliko watakaoshangilia humu. 🥱
 
Chanzo changu cha uhakika kutoka wizarani kimeniarifu kwamba nafasi za ajira zilizotakiwa ni 6,000 hiyo 5,000 ya juu ilikuwa geresha la kutafutia mitano tena
Acha uongo wewe
Hakuna ajira

Serikali haina pesa,

Unafikili kuendesha uchaguzi bila wahisani kutoka nje ni mchezo

Pesa za ndani zimetumika sanaa

Wacha tuisome namba
 
026-2160210
Namba hii kama mna maswali, maoni, ushauri na mapendekezo kwa tamisemi.
Pia tangazo la kuomba ajira hizi limeondolewa kwenye tovuti ya tamisemi.
Ila kwa ufupi ajira ni mwezi ujao
 
Kilio chenu tumekisikia. Kaeni mkao wa kula. Harufu jikoni inapendeza.

Anzeni kutafuta nauli za kuendea Kijijini na visola panel portable kwa wale waliojaza Shule za porini.
 
In shaaa Allah,iwe hivyo mkuu ili hawa walimu wetu walio na stress za hii mishe waujue ukweli maisha mengine yaendele. Nna uhakika watakaolia ni wengi kuliko watakaoshangilia humu.
Wala hata Hawana stress, sema tu maji ukishayavulia nguo sharti uyaoge!
Wote tunafaham hizi mishe, kwa yoyote aliyeomba lazm awe mzito kumove on mpaka majina yatakapo toka.
Na asilimia kubwa wanaotoa Updates humu wako sahihi, sema tu JPM hatabiriki, anabadilikabadilika mnooo.
 
Hilo kwel ndugu nikama wametufunga miguu,hakuna mwenye stress kama vita ya maisha tunaijua ila watoe kila amove on
 
Wala hata Hawana stress, sema tu maji ukishayavulia nguo sharti uyaoge!
Wote tunafaham hizi mishe, kwa yoyote aliyeomba lazm awe mzito kumove on mpaka majina yatakapo toka.
Na asilimia kubwa wanaotoa Updates humu wako sahihi, sema tu JPM hatabiriki, anabadilikabadilika mnooo.

Narudia mkuu, stress wanayo tena kubwa sana.

Mungu awabariki wapate hitaji la moyo wao ameeen[emoji2969].
 
Wale mnaosubiri mafuliko ya ajira hizi za walimu mambo sasa yamekwiva

soon majina yatatangazwa, mnatakiwa kujiandaa kisawasawa

Jipange na pesa ya nauli, pesa ya kujikimu kwa muda na kubwa zaidi jipange kwa kuwa na TIN namba ya mlipa kodi wa TRA!

kufika january hakikisha unayo TIN ili usicheleweshwe mshahara
 
Sasa mbona hujabalance mahesabu 6000+5000=11000 wakati ajira zilizotangazwa ni 13,000, af haujui kitu unakujaa na stori za mtaani kwenu za kutunga et mpango wa serikali kuajiri walimu 6,000 ulisikiliza bunge la bajeti walisema wanaajiri walimu wangap. Bunge la bajeti walisema wanaajiri elfu 13 na ajira wametangaza elfu 13. Na tarehe 22 oct 2020 kwenye hafla ya utoaji tuzo walimu na Wanafunzi bora mlimani city, Jafo alisema wanamalizia mchakato wa kuwapangia walimu vituo na ajira alisema zaidi ya 13,500.

Nadhan vijana wangekaa wakatulia wasubiri kwa vyoyote vile ajira zitatoka mwezi ujao ili January waanze kazi. Lakin pia mishahara ya serikalini sio ya kumtoa mtu kimaisha Kama kijana anaweza kufanya biashara zake bora afanye kuepukana na kufanya kazi vijijini sana huku ukifatiliwa na afisa kata wakati hela unayolipwa ni kutosha kula tu. Ila pia probability ya kupata hiyo kazi ndogo Sana Mana zaidi ya 90% ya walioomba watakosa ajira kwa hiyo ni vizuri akili zenu ziwe tayari kwa lolote. Msiweke mategemeo makubwa katika hili
Chanzo changu cha uhakika kutoka wizarani kimeniarifu kwamba nafasi za ajira zilizotakiwa ni 6,000 hiyo 5,000 ya juu ilikuwa geresha la kutafutia mitano tena.
 
Msipanikishane Serikali Lazima watoe ajira, labda hofu yetu iwe ni kupungua kwa wanufaika.
Maana hawashindwi kitu wanaweza kutoa hata ajira 2,000 alimradi wametoa.
 
Poleni vijana kwa ukosefu wa ajira, nawashauri mtafute njia mbadala za kupiga pesa, kama biashara ndogondogo, kilimo, bodaboda, bajaji, na kutumia maarifa mbalimbali kwa fani mlizosomea huko vyuoni etc, ukosefu wa ajira za uwalimu usiwe kikwazo cha maisha yako, nawatakia kila la kheri katika mapambano ya maisha.😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom