Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Do not quit a job,rest if possible,stickertivity never quit.Ukipewa kituo tumika pale,wale watoto wanahitaji huduma yako,ukikimbia ni kosa,hakuna rangi utaacha kuona maishani
 
Ajira zenyewe ndiyo hizi hlf umshauri mtu ajitume..ww hauko sawa
 
Do not quit a job,rest if possible,stickertivity never quit.Ukipewa kituo tumika pale,wale watoto wanahitaji huduma yako,ukikimbia ni kosa,hakuna rangi utaacha kuona maishani
NONSENSE
NONSENCE
NONSENCE
 
Tafuteni kazi ya kufanya. Mtaja kufa na presha ya kusubiri ajira za ualimu....!
 
Walimu jiajirini, pangeni biashara barabarani kama wenzenu WAHA.
Walimu uzeni visheti na bajiya, mkiona wateja hakuna uzeni Tambuu na Ugoro , wa kiume uzeni alkasusu mchanganye na viagra mtapata wanywaji, hiyo ndio ajira mbadala.
 
Back
Top Bottom