Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajira zenyewe ndiyo hizi hlf umshauri mtu ajitume..ww hauko sawaDo not quit a job,rest if possible,stickertivity never quit.Ukipewa kituo tumika pale,wale watoto wanahitaji huduma yako,ukikimbia ni kosa,hakuna rangi utaacha kuona maishani
NONSENSEDo not quit a job,rest if possible,stickertivity never quit.Ukipewa kituo tumika pale,wale watoto wanahitaji huduma yako,ukikimbia ni kosa,hakuna rangi utaacha kuona maishani
Uliona mbali kuwepo kwa upungufu wa wanufaika.Msipanikishane Serikali Lazima watoe ajira, labda hofu yetu iwe ni kupungua kwa wanufaika.
Maana hawashindwi kitu wanaweza kutoa hata ajira 2,000 alimradi wametoa.
M/Mungu atimize hitaji LA moyo wako.5000 zitatoka karibuni..la 7 wako laki 750000+ wa kuingia sekondar
Amen.M/Mungu atimize hitaji LA moyo wako.
Mbona tangazo halipo kwenye webZimetoka tenA
ziko wapiZimetoka tenA
*Kufa kwa preshaTafuteni kazi ya kufanya. Mtaja kufa na presha ya kusubiri ajira za ualimu....!
Walimu jiajirini, pangeni biashara barabarani kama wenzenu WAHA.Tafuteni kazi ya kufanya. Mtaja kufa na presha ya kusubiri ajira za ualimu....!
Kwani mfumo umefunguliwa?Tena tukutane soon