Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
Siyo wote waliopanda. Mimi na jamaa zangu lukuki hatujapandishwa, huku tukiwa kwenye orodha ya kupandishwa. Na mpaka sasa hatujasikia tamko lolote lile kutoka kwa wenye mamlaka.Watumishi gani tena!!!!!!!!!
Mbona tumeshapanda jana usiku mpaka leo asubuhi.
Serikali ya SSH imelipa malimbikizo yote halali mwezi huu. mimi ni mmoja wa waliolipwa madai yangu ya tangu 2018.Namshukuru sana Rais kwa kunilipa baada ya kusota kwa miaka minne sasa.Umemaliza?
KUPITIA WAZIRI WA UTUMISHI NA UTAWALA BORA, MH MOHAMED MCHENGERWA, SERIKALI ILIAHIDI KUPANDISHA WATUMISHI WAKE VYEO KWA KADA MBALIMBALI , IKIWEPO NA KUTENGA BILIONI 300 KWA AJILI YA KULIPA MADAI YA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA. LAKINI SIKU YA LEO BAADA YA MISHAHARA KUTOKA KUMEKUWA NA VILIO KILA KONA YA WATUMISHI KUTOONA MABADILIKO KAMA AHADI YA WAZIRI ILIVYOKUWA. SUALA HILI LIMEZUA TAHARUKI, NI VIZURI SERIKALI IKATOLEA UFAFANUZI MAPEMA KUHUSU SUALA HILI.Umemaliza?
Siyo wote waliopanda. Mimi na jamaa zangu lukuki hatujapandishwa, huku tukiwa kwenye orodha ya kupandishwa. Na mpaka sasa hatujasikia tamko lolote lile kutoka kwa wenye mamlaka.
Huyu anafurahiSerikali ya SSH imelipa malimbikizo yote halali mwezi huu. mimi ni mmoja wa waliolipwa madai yangu ya tangu 2018.Namshukuru sana Rais kwa kunilipa baada ya kusota kwa miaka minne sasa.
Huyu analiaKUPITIA WAZIRI WA UTUMISHI NA UTAWALA BORA, MH MOHAMED MCHENGERWA, SERIKALI ILIAHIDI KUPANDISHA WATUMISHI WAKE VYEO KWA KADA MBALIMBALI , IKIWEPO NA KUTENGA BILIONI 300 KWA AJILI YA KULIPA MADAI YA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA. LAKINI SIKU YA LEO BAADA YA MISHAHARA KUTOKA KUMEKUWA NA VILIO KILA KONA YA WATUMISHI KUTOONA MABADILIKO KAMA AHADI YA WAZIRI ILIVYOKUWA. SUALA HILI LIMEZUA TAHARUKI, NI VIZURI SERIKALI IKATOLEA UFAFANUZI MAPEMA KUHUSU SUALA HILI.
Maisha hayapo hivyo kama unavyodhani. Ukitaka watumishi wote wa umma kufanya kazi kwenye kampuni binafsi au kufanya biashara, ni nani atakayefanya kazi Serikalini?Hamjazuiwa kufanya kazi kampuni binafsi au biashara. Acheni kutegemea kazi za serikali
Mtoa hoja yuko sahihi. Iweje wengine wapandishwe mwezi huu na wengine wasipandishwe? Serikali/Wizara ilitakiwa kutolea ufafanuzi badala ya kutuacha na sintofahamu.Kuna waraka mmoja niliona mahali kuwa 60% ya watumishi wa umma hawana uwezo..manake ni vilaza mmoja wao ni huyu mleta uzi..tangulini mabadiliko ya mwaka wa bajeti waserikali yafanyike kabla mwaka mpya wa kiserikali haujaanza..subiri mwezi wa7 usipipandishwa ndio uhoji.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabadiliko ya kupandishwa mshahara ndio husubiri hadi budget mpya ya mwezi wa 7, lakini ya madai na madaraja ni ndani ya budget iliyopo na pia maamuzi ya kiongozi wa nchi.hivi haya mabadiliko yanayosemwa hua yanaonekana mwezi wa sita au mwezi wa 7??
Duuu shukuru sana zaidiSerikali ya SSH imelipa malimbikizo yote halali mwezi huu. mimi ni mmoja wa waliolipwa madai yangu ya tangu 2018.Namshukuru sana Rais kwa kunilipa baada ya kusota kwa miaka minne sasa.
Jama wametupatia kweli. Hata kwenye makundi ya whatsapp ya makazini, mambo ni hayo hayo! Kuna wachache wamefurahi.Huyu anafurahiHuyu analia
Barua ndio ita determine, mfano walopandishwa vyeo tarehe 1 mwezi huu itabidi mabadiliko yaonekane mwezi huuhivi haya mabadiliko yanayosemwa hua yanaonekana mwezi wa sita au mwezi wa 7??
Hujui kitu kaa kimya,watu wamepanda mwezi huuKuna waraka mmoja niliona mahali kuwa 60% ya watumishi wa umma hawana uwezo..manake ni vilaza mmoja wao ni huyu mleta uzi..tangulini mabadiliko ya mwaka wa bajeti waserikali yafanyike kabla mwaka mpya wa kiserikali haujaanza..subiri mwezi wa7 usipipandishwa ndio uhoji.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauhakika majina yakowapi...mabadiliko yote ya mshahara huanza mwaka mpya wa serikali..sasa wewe sio mtumishi unapata taarifa tu mitandaoni na wewe unaamini..pole yako.Hujui kitu kaa kimya,watu wamepanda mwezi huu