Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mimi nikiangalia maoni ya mitandaoni, nionavyo wengi waliokasirika Metacha kusajiliwa tena ni wana Yanga, akiwemo Dismas Ten... mbona Leo Metacha amesajiliwa Yanga akitokea Singida Mbumbumbu fc mnakasirika?