Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sasa hata akikudanganya utajuaje? Kuna muda watu tunapenda kuongopewa, hakuna haja ya kuuliza maswali ambayo majib unayo.Hii hali kweli ilifika mkuu mtu anakutak uwe boua maana kila swali unalouuliza hana majibu sahih matokea yake anachoka kujieleza anaanza kibri.
[emoji23] alafu penzi likaendelea au lilikufa?
Imeisha hiyo si unajua kwenye mteremko huitaji kuchochea pedali za baiskeli, unashuka tuIkitokea mtu akaingilia penzi lako na ashaambiwa uko mbali mshenzi anajitahid sana kucare yan uhindi wote na ufilipino anammwagia mpenzi wako uonekane wewe hujui lolote kabisa, hapo ndo unalinganishwa mwisho unazidiwa kete unaachwa
Maombi yakakubaliwa au ndio ukaamua kukazaAlivyoachwa ndo akanirudia na akakuta mm nna mtu mwingne ila akaomba awe spare hata[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mkikutana kina happen mbona fresh ila ndio hakuna tena uaminifuNi muhim kujua unapoteza muda au bado mpo sambamba.
HakikaUhakika, ngoja tusubir ziumane binadam sio milima.
Maombi yakakubaliwa au ndio ukaamua kukaza
Pole sana kwakeSiezi rudia toxic guy mm