Diva ajiunga na Wasafi Media

Binamu kipindi chake kinaitwaje vile na huwa kipo hewani siku gani na saa ngapi?
Nataka nimsikilize na mie coz simjui
 
Binamu kipindi chake kinaitwaje vile na huwa kipo hewani siku gani na saa ngapi?
Nataka nimsikilize na mie coz simjui
Kila j'3 mpaka ijumaa saa 3:30 usiku
 
Watu mnachuki sana sana huyo dogo, yani failures za Wasafi media ni za Diamond ila chochote kizuri kuhusu Wasafi media kunageuka na kuwa cha Kusaga[emoji23].
😀😀😀😀😀😀 !!!!!!!!!!
 
Ulikuwepo kwenye hayo mazingumzo?
 
Kumbe ukiwa na chuki nyingi sometime ni sababu ya njaa si alisemaga hawezi kuajiriwa na domo bora akauze bagia shuleni huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23] unafiki hauwezi kuisha.
 
Umeona mbwembwe zake huko IG? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna tutakoma safari hii lol
 
Hongera zake kwa hatua hiyo. Ila tutakoma mwaka huu. Mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Jana tu anavo tambulishwa wana mhoji maswali mengine yeye ana kazana kusema mahali yake billion 10
 
Leo nimepita you you tube nikaona video fupi fupi zikionesha yule Harlot (Mliopita eng medium, mtarekebisha herufi kama nimekosea na maana yeke) aliyekuwa mtangazaji wa Clouds DIVA akikaribishwa WASAFI FM nahisi kaajiliwa hapo.

Sasa najaribu kuunganisha Dots yule dada alivyokuwa anamtukana Diamond akiwa shabiki wa KIBA, leo hata miaka haijapita ni wakupeleka njaa Kwa MONDI Kutafuta ajira?

Kweli tuwe tunaweka akiba ya maneno wakuu, Alikuwa anajigamba ana mpunga wa kutosha hana shida,,hataki kuajiriwa tena, leo Njaa imekuwa kari nahisi baada ya kufukuzwa Clouds kaenda wasafi.

Kuna msemo wa kilugha unasema,

"SHIDA ITASABABISHA MPAKA UOMBE ULIYEMNYIMA"

Jaman tujifunze kuheshimu watu wenye pesa maana kama huna pesa, ni changamoto na pesa si matako kila mtu anayo.

Kazi iendeleee.
 
"SHIDA ITASABABISHA MPAKA UOMBE ULIYEMNYIMA"
Shida haina adabu.
 
"SHIDA ITASABABISHA MPAKA UOMBE ULIYEMNYIMA"
Shida haina adabu.
Mpaka nimeshangaa yule dada alivyokuwa na nyodo maneno mengi kumbe hakuna kitu, njaa ya miezi, michache tu imemtoa pangoni na kuanza kutafuta mkate wa, kila siku.

Alikuwa, nasema ana mpunga NSSF kumbe hajuwi kule walipiga pini mpaka miaka 60,

Tutafute pesa tu wakuu maana ukiwa na masikini HATA KIKAO CHA FAMILIO HUULIZWI UNAKUNYWA SODA GANI UNAONA MIRINDA NYEUSI UMELETEWA.

Ukichangia mawazo unaonekana unaanzisha fujo. shida tu.
 
Kuheshimu kila mtu sio wenye pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…