Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
🙂 🙂 🙂Kumbe ukiwa na chuki nyingi sometime ni sababu ya njaa si alisemaga hawezi kuajiriwa na domo bora akauze bagia shuleni huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂 🙂 🙂Kumbe ukiwa na chuki nyingi sometime ni sababu ya njaa si alisemaga hawezi kuajiriwa na domo bora akauze bagia shuleni huyu.
Binamu kipindi chake kinaitwaje vile na huwa kipo hewani siku gani na saa ngapi?Diva ana sauti nzuri sana na kana swagg na kipaji kipo, ila sina uhakika kama wasafi atafikisha hata miezi sita, Kufanya kazi na diva ni pasua kichwa. Hata baada ya jana kutambulishwa na mbwe mbwe zote, ni kama watu wameamua kumpotezea.
Haka kadada kana Tabia za ajabu ajabu, kanajifanyaga yeye ndo Mungu mtu, muongo, mnafiki, kigeugeu halafu ana kiburi, huyu kama atafanya wafanyakazi wenzie wahame mjengon basi yeye ataondolewa.
Hapo kashepewa gari tutakoma mwaka huu
Kila j'3 mpaka ijumaa saa 3:30 usikuBinamu kipindi chake kinaitwaje vile na huwa kipo hewani siku gani na saa ngapi?
Nataka nimsikilize na mie coz simjui
IlaIla Diva anatangaza vizuri Ile sauti yake
Senki yu mkuuKila j'3 mpaka ijumaa saa 3:30 usiku
Nini
😀😀😀😀😀😀 !!!!!!!!!!Watu mnachuki sana sana huyo dogo, yani failures za Wasafi media ni za Diamond ila chochote kizuri kuhusu Wasafi media kunageuka na kuwa cha Kusaga[emoji23].
Ghorofa lake la Instagram?Clouds reject alipwe mara tatu zaidi wasafi?..maajabu haya.drama juu ya drama.
Hopefully lile ghorofa lake litakamilika
Ulikuwepo kwenye hayo mazingumzo?Mkuu I am talking from the inside, swala la Diva kwenda Wasafi ni discussion ya muda mrefu na aliyekuwa anaichelewesha ni Diamond, alikuwa hamtaki.
Baada ya negotiations kwa mwongozo wa Godfather mwenyewe ndo Diamond amebidi akubali, but he is still bitter.
Diamond ni part owner na ni mkurugenzi mtendaji, na ana hold nafasi nyingi za maamuzi, lakini kuna vitu vingi vinafanywa kwa mwongozo wa Kussaga.
[emoji23][emoji23][emoji23] unafiki hauwezi kuisha.Kumbe ukiwa na chuki nyingi sometime ni sababu ya njaa si alisemaga hawezi kuajiriwa na domo bora akauze bagia shuleni huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njaa haina baunsa kbbbk, ikiingia kwenye 18 zako unaweza hata kumuamkia mtoto wa dada yako “shkamoo mjomba wangu”
Umeona mbwembwe zake huko IG? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diva ana sauti nzuri sana na kana swagg na kipaji kipo, ila sina uhakika kama wasafi atafikisha hata miezi sita, Kufanya kazi na diva ni pasua kichwa. Hata baada ya jana kutambulishwa na mbwe mbwe zote, ni kama watu wameamua kumpotezea.
Haka kadada kana Tabia za ajabu ajabu, kanajifanyaga yeye ndo Mungu mtu, muongo, mnafiki, kigeugeu halafu ana kiburi, huyu kama atafanya wafanyakazi wenzie wahame mjengon basi yeye ataondolewa.
Hapo kashepewa gari tutakoma mwaka huu
Diva ana sauti nzuri sana na kana swagg na kipaji kipo, ila sina uhakika kama wasafi atafikisha hata miezi sita, Kufanya kazi na diva ni pasua kichwa. Hata baada ya jana kutambulishwa na mbwe mbwe zote, ni kama watu wameamua kumpotezea.
Haka kadada kana Tabia za ajabu ajabu, kanajifanyaga yeye ndo Mungu mtu, muongo, mnafiki, kigeugeu halafu ana kiburi, huyu kama atafanya wafanyakazi wenzie wahame mjengon basi yeye ataondolewa.
Hapo kashepewa gari tutakoma mwaka huu
Mpaka nimeshangaa yule dada alivyokuwa na nyodo maneno mengi kumbe hakuna kitu, njaa ya miezi, michache tu imemtoa pangoni na kuanza kutafuta mkate wa, kila siku."SHIDA ITASABABISHA MPAKA UOMBE ULIYEMNYIMA"
Shida haina adabu.
Kuheshimu kila mtu sio wenye pesa tuLeo nimepita you you tube nikaona video fupi fupi zikionesha yule Harlot (Mliopita eng medium, mtarekebisha herufi kama nimekosea na maana yeke) aliyekuwa mtangazaji wa Clouds DIVA akikaribishwa WASAFI FM nahisi kaajiliwa hapo.
Sasa najaribu kuunganisha Dots yule dada alivyokuwa anamtukana Diamond akiwa shabiki wa KIBA, leo hata miaka haijapita ni wakupeleka njaa Kwa MONDI Kutafuta ajira??????
Kweli tuwe tunaweka akiba ya maneno wakuu, Alikuwa anajigamba ana mpunga wa kutosha hana shida,,hataki kuajiriwa tena, leo Njaa imekuwa kari nahisi baada ya kufukuzwa Clouds kaenda wasafi.
Kuna msemo wa kilugha unasema,
"SHIDA ITASABABISHA MPAKA UOMBE ULIYEMNYIMA"
Jaman tujifunze kuheshimu watu wenye pesa maana kama huna pesa, ni changamoto na pesa si matako kila mtu anayo.
Kazi iendeleee.