steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Njaa haina baunsa mkuuKumbe ukiwa na chuki nyingi sometime ni sababu ya njaa si alisemaga hawezi kuajiriwa na domo bora akauze bagia shuleni huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa haina baunsa mkuuKumbe ukiwa na chuki nyingi sometime ni sababu ya njaa si alisemaga hawezi kuajiriwa na domo bora akauze bagia shuleni huyu.
[emoji23][emoji23]Njaa haina baunsa kbbbk, ikiingia kwenye 18 zako unaweza hata kumuamkia mtoto wa dada yako “shkamoo mjomba wangu”
Ila diva anatangaza vizuri Ile sauti yake
🤣🤣🤣🤣🤣 Chezea pesa wewe ndio maana wanasema pesa ni sabuni ya rohoMatapishi yameliwa tena
Kumbe ndio maana akawa analeta pambio nyingi zamani alisema thamani yake ni 1 billion🤣🤣🤣🤣🤣 Chezea pesa wewe ndio maana wanasema pesa ni sabuni ya roho
Kuna nyakati bora kujishusha tu Kama unaona life la kitaa halieweki na ndicho alichofanya diva.Njaa haina baunsa kbbbk, ikiingia kwenye 18 zako unaweza hata kumuamkia mtoto wa dada yako “shkamoo mjomba wangu”
Hiv kwa akili ya kawaida Nani anaweza kutoa hata mahali ya mil 10 tu achilia hiyo million 500 aliyosema kwa diva ambaye kashatumika SanaKumbe ndio maana akawa analeta pambio nyingi zamani alisema thamani yake ni 1 billion
Kumbe hana tofauti na mukoko tonombe
Sasa sijui wataangaliana vipi
Who the hell is Diva???Mtangazaji maarufu wa vipindi vya usiku diva anejiunga na Wasafi media kwa mujibu wake akifanyiwa mahojiano amesema amesaini mikataba aliyopewa na Diamond ambao atakuwa analipwa zaidi ya kile alichokuwa analipwa na media aliyofanya nayo kazi lakini ameongea pia amepewa gari na Diamond. Ameongea kuwa Diamond amemuajiri baada ya kutatua ugomvi wao walikuwa nao.
Akaulizwa kwanini hivi karibuni alikuwa anamshabikia Sana diamond? Akajibu nilianza kumshabikia baada ya diamond kufuta kesi dhidi yake mahakamani na ndipo nikaamua kuacha kuwa na ugomvi nae
Me mwenyewe huwa najiuliza kama wewe mkuu. Yani wasafi ikifeli ktk jambo fulani basi jumba bovu linamuangukia diamond,Watu mnachuki sana sana huyo dogo, yani failures za Wasafi media ni za Diamond ila chochote kizuri kuhusu Wasafi media kunageuka na kuwa cha Kusaga[emoji23].