Diva ajiunga na Wasafi Media

Diva ajiunga na Wasafi Media

🤣🤣🤣🤣🤣 Chezea pesa wewe ndio maana wanasema pesa ni sabuni ya roho
Kumbe ndio maana akawa analeta pambio nyingi zamani alisema thamani yake ni 1 billion
Kumbe hana tofauti na mukoko tonombe
Sasa sijui wataangaliana vipi
 
Njaa haina baunsa kbbbk, ikiingia kwenye 18 zako unaweza hata kumuamkia mtoto wa dada yako “shkamoo mjomba wangu”
Kuna nyakati bora kujishusha tu Kama unaona life la kitaa halieweki na ndicho alichofanya diva.
 
Kumbe ndio maana akawa analeta pambio nyingi zamani alisema thamani yake ni 1 billion
Kumbe hana tofauti na mukoko tonombe
Sasa sijui wataangaliana vipi
Hiv kwa akili ya kawaida Nani anaweza kutoa hata mahali ya mil 10 tu achilia hiyo million 500 aliyosema kwa diva ambaye kashatumika Sana
 
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya usiku diva anejiunga na Wasafi media kwa mujibu wake akifanyiwa mahojiano amesema amesaini mikataba aliyopewa na Diamond ambao atakuwa analipwa zaidi ya kile alichokuwa analipwa na media aliyofanya nayo kazi lakini ameongea pia amepewa gari na Diamond. Ameongea kuwa Diamond amemuajiri baada ya kutatua ugomvi wao walikuwa nao.


Akaulizwa kwanini hivi karibuni alikuwa anamshabikia Sana diamond? Akajibu nilianza kumshabikia baada ya diamond kufuta kesi dhidi yake mahakamani na ndipo nikaamua kuacha kuwa na ugomvi nae
Who the hell is Diva???
 
Diva ana sauti nzuri sana na kana swagg na kipaji kipo, ila sina uhakika kama wasafi atafikisha hata miezi sita, Kufanya kazi na diva ni pasua kichwa. Hata baada ya jana kutambulishwa na mbwe mbwe zote, ni kama watu wameamua kumpotezea.

Haka kadada kana Tabia za ajabu ajabu, kanajifanyaga yeye ndo Mungu mtu, muongo, mnafiki, kigeugeu halafu ana kiburi, huyu kama atafanya wafanyakazi wenzie wahame mjengon basi yeye ataondolewa.

Hapo kashepewa gari tutakoma mwaka huu
 
Watu mnachuki sana sana huyo dogo, yani failures za Wasafi media ni za Diamond ila chochote kizuri kuhusu Wasafi media kunageuka na kuwa cha Kusaga[emoji23].
Me mwenyewe huwa najiuliza kama wewe mkuu. Yani wasafi ikifeli ktk jambo fulani basi jumba bovu linamuangukia diamond,

Wasafi ikifanya jambo jema inakua ni ya kusaga. Nashindwa kuelewa huyu mwamba alifanyaga nini wabongo
 
Back
Top Bottom