Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

Vijana wa kisasa Tanzania (ambao Mange Kimambi ndiye shujaa wao) ni wa kuwaombea tu.....Akili zao ni kama upupu.
Wakina nani hao mkuu?
 
HAHAHAHA sidhani maana ni kama diva alikuwa suprised sana.....halafu wimbo ule hata watumie kiki ya kuvua nguo na kubaki uchi hautoweza kuwa hit ...ni wimbo mzuri lakini si hit
[emoji23][emoji23][emoji23] Sema wabongo mimi huwa siwaamini faster, tuwape muda the truth will be out mkuu, Sema huyu demu bora alivyo achana na kamanda Bokasa, hakufaa kuwa shemeji wa ECT kabisa
 
Back
Top Bottom