Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

Sasa huyo dogo alikosa kabisa watoto wabichi warembo? Mpaka anaenda kuparamia makapi
 
Mwambieni aje kwa mandokwa atanyooka na kiswahili chake kitanyooka dakika zero tu.
 
Diva anasema nataka mtoto dogo anasema sina mpango wa kuzaa kwakweli chalii haelewi nn anaongea
 
Hivi ndio naimagine mzazi anaona hii picha au kiongozi wa kiimani anaona hiyo picha, yaani ni aibu mwisho wa siku unaweza kudhalilika kuwa ati hawa ndio nakuja kuwaoza....
Acha USHAGOO mbona ako smart Hugo Dogo!!!!
 
Siajabu Kik...wabongo kwa kutafuta kuongelewa siku hizi, siwawezi.
 
Back
Top Bottom