[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahSioni mwanaume hapa au hii picha imekua cropped?
Hatari sana nasikia Diva yuko ICU.
HAHAHAHA sidhani maana ni kama diva alikuwa suprised sana.....halafu wimbo ule hata watumie kiki ya kuvua nguo na kubaki uchi hautoweza kuwa hit ...ni wimbo mzuri lakini si hitYawezekana ikawa ni planned ili kuboost wimbo mpya wa Heri
[emoji23][emoji23][emoji23] Sema wabongo mimi huwa siwaamini faster, tuwape muda the truth will be out mkuu, Sema huyu demu bora alivyo achana na kamanda Bokasa, hakufaa kuwa shemeji wa ECT kabisaHAHAHAHA sidhani maana ni kama diva alikuwa suprised sana.....halafu wimbo ule hata watumie kiki ya kuvua nguo na kubaki uchi hautoweza kuwa hit ...ni wimbo mzuri lakini si hit
Watanzania wengi wanaendeshwa na media. Tunakosa kuwa na independent mind. Kama ni wasichans warembo wapo wengi hata huku uswazi.Huyo diva mbona hamfikii house girl wetu