Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

hatari sana sheikh, alijua na huyo dogo atachukua uamuzi mgumu kama UCHEBE!?
 
Aje kwangu ntampa mbegu za uzazi bureee, kwa kumsaidia tu,asikose mtoto maana kwake ni saa kumi jioni sasa
 
Hawa nawo wameanza Kiki!!hamna Cha sijui hamtaki dogo anatafuta njia ya kuipa unaruhusu nyimbo yake kwa kuongelewa na watu
 
Back
Top Bottom