Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Hongera lkn naye kiherehere si angesubiri akamilishe? Ziko nuksi asije akashangaa ikaishia hapo hapo...mimi nikiona mtu ana kihere here sana au furaha kupitiliza wakati anajenga huwa napata wasi hajengi kwa hela zake
 
huyo mchora ramani wake kamtoa insta nini
 
Hiyo kama sio Chanika basi Vikindu [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyumba kama mnara wa babeli

Angeomba na ushauri basi,sasa hilo si godown

Ametumia pesa nyingi kujenga godown la kuishi... angepata mshauri wa ramani ingemsaidia sana...

hhaaaaahaa naona km godown hv,ukiweka na hz bati....utathani yale ya stakabathi ghalani

Yanaitwa unapaulia MASUFULIA!!!

Administration block

Ramani ya hospital

Naona anataka kufungua kanisa au godown sema kakosea tu kuandika akasema nyumba.

Chini ukumbi, juu nyumba

Hili ni godown la korosho huko kwao mtwara!
 
Nice one.. kama nyumba yake fresh maana wenzie wametupigia picha sana ya vigorofa vyao vya kufugia kuku mwaka wa saba huu bado wamepanga
 
Nyumba haieleweki kama sura yake. Unajua wahaya mbwembwe zao zinawagharimu
 
Ipo wapi Kimanzichana? Maana kama ghorofa la yule msanii 20%
 
Hiyo nyumba ataikodisha kama ofisi au ataenda kuishi yeye?? Mbona kubwa sana! Alafu hilo ni bati la silver au??
HONGERA ZAKE, maisha ni nyumba.
 
Nyumb gani ss hy ameshindwa kuweka hata bati za rangiii....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…