Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Bora usingeonyesha mana kwanza ramani sijui uliichorea wapi...lakini ukiangalia bati ghorofa na bati gadge 32 kweli kweli????? Nondo hizo nazo duh...hii nyumba ni hatari kwa usalama wa mmiliki
inabidi ashtakiwe hyu na hhyo mkandarasi wake fekero,yani kila kitu anachomiliki diva ni fake mpaka simu fake,nina wasi wasi hata papuchi itakua fekero mxieeee
 
[emoji872][emoji872] wacha nisubiri aimalizie tu maana mhh!
 
Kwa sisi tunaomiliki tuliojenga na kumiliki majumba , hii nyumba kama yupo na pesa za kutosha kwenye finishing akakomaa haswa , Nawaambia nyie wenye dharau mtakuja tena hapa na kumsifia.Nyumba siku zote itaonekana nzuri pale imeisha kumaliziwa.Hongera sana , Mungu akujalie umalize nyumba yako
 

Diva mbona unakua mkali
 
Kajitahidi Sana, ila mchora ramani wake kafanya nyumba isionekane yenye mvuto.
 
Itakuwa wamechukua ramani katika kambi ya jeshi Vietnam ndio wenye majengo ya namna hii.
 
Hongera zake. Ila hakupata designer mzuri maana ghorofa limekaa kama box . Halafu na mabati aliyoezekea! Bora hata nyumba ya chini yenye muonekano na finishing nzuri.
 
Mhuu amejitahidi sana . ila ameidhalilisha ghorofa kwa kupaulia hilo bati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…