Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Nyumba ka godown la pamba
Kwa haraka haraka this is a duplex.. Yani nyumba ya two in one.. Then the design, aaaagkgjgghhhhhh... Mabati "F",

And this is not typical of Dar es salaam architecture.. Alafu kama naona burnt bricks... Labda kama iko Mbeya..
 
Mbona ramani kama ya godown hiyo
 
Kwani kaandika kuwa ni nyumba ya kulala? Imeonyesha na inaonekana kuwa ni store!
 
Online ads zitamalizia mjengo vp kuhusu salary ??
Page ya diva ina ads gani zaidi ya picha zake za utupu/ you never know they might be ads to others!.
 
Uchumi wa Viwanda!
Anajenga kiwanda jamani!
 
Architecture atafutwe mara moja hiyo nyumba ya kuishi ama ukumbi wa mikutano na nikosa la jinai nyumba kama hiyo kwa bati hizo,
Ni kama mtu anunue mbao za mihama,au minazi apauliye bati za vigae haileti maana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…