Diva atundikwa mimba na mtangazaji mwenzie

Mil. 500 kazikosa,
Sasa kaambulia mimba!
Wanaume hawadhihakiwi kwenye suala la kupapuchika.
Hahahahaha hatari sana na jamaa ndio huwa ana hongwa na hadi analipiwa hela ya studio...
 
Hahaaaa shemeji wakugombania dressing table na dada.

Nashukuru Mungu niko poa
Hahahahaha Shemeji ni handsome hahaha kala papuchi bure kabisa...
 
Unajuaa watu wakipiga picha kwenye camera ya snapchat na zile effects wanawekea baadae wanaamini zile ndo sura zao halisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzigua tafadhali sana huyo mtoto wa kihaya hakuna mtangazaji anamfikia kwa uziri africa πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Muwe mnaona aibu kuleta habari zingine km hizi humu,
Au hii ipelekeni watoto forum
Hili ndio jukwaa lake..
Uwe unaona aibu kuandika bila kutafakari..
 
Mzigua tafadhali sana huyo mtoto wa kihaya hakuna mtangazaji anamfikia kwa uziri africa πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamtetea tu dadako hamna
 
Teh teh teh nilitamani niwe wakwanza kuweka comment, any way ni mambo ya uumbaji
 
Papuchi is a serious job to a man, unakuta mtu anasafiri kwenda dubai au marekani ili akagegede tu.

Respect to us, hatunaga mchezo na tunasema Ng'ombe hazeeki maini.
Mimi nlisafiria kufika nkakuta mzigo hauna antena,stimu ikakata ila binti alikua mashalaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…