Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Unataka ajadiliwe babaako?Enewei,hii ni Celebrity Forum napo unataka ijadiliwe katiba unaakili kweli wewe?

::thumb up
Chukua like 5 baab.


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Haiwezi kufa kwa sababu ya hao achana na hzo fikra potofu.
 
Huenda walimsifia JIDE! Kama Mtanzania mzalendo naskikitika kuona vijana wenzangu wanapotezaajira zao ikizingatia jamii zetu tunavyotegemeana, anyway mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguka ndio msemu wetu ambao aghalabu huwa kweli
 
Sidhani kama watakua out moja kwa zote maana kila mtu kwenye plofile yake bado wanajitambulisha kama member wa clouds media group. Ila waache masihala hawa watu walikuwa wanamchango mkubwa sana hasa hiki kipindi cha ushindani wa radio.
 
Haya sasa wale wanaojua kummezesha mtu maneno na kisha kumtapisha na kuyafanya mada huo ndiyo ujumbe wa adamu mchomvu dakika ishirini zilizopita.
 

Attachments

  • 1389816808733.jpg
    55.5 KB · Views: 408
Me alinishangaza siku moja wako hewani, adam mchomvu akaanza ku rap kama kawaida yake si katikati ya ku rap akaunganisha verse eti dj fettu kajamba kimya kimya wacha fetty amind online hapo hapo! Ndio nikasema duh adam hakuna mtu pale...!
 

Kwi kwi kwi...,aisee we jamaa ni noma,kuna mtu kashauri wakaombe kazi Mwananchi sasa nikashindwa kuelewa kule si ni kalamu zaidi na si kupang'ang'a? Au watawa-connect na Citizen? Mimi naona wasubiri hatma yao na wasiwe wakaidi kama yule aliyekua Mwenyekiti wa CDM Arusha.
 
Wamechelewa Sana,wale Walipashwa Kutoswa Mapema Mno,clouds Imekuwa Kama Kijiwe Cha Kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…