ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
Nimejuta hata kuweka hile comment yangu mwanzo kwenye huu ujinga wa clouds media group.
Haya mambo wamepanga kutafuta na kuvuta attentio za watu wala hakuna kufukuzana wala kusimamishwa.
whaaattt..!! Hahahaha...!! Thanx i was neutral in this.
Umejuaje! Umeshtukia nin ndugu.?
hata huruma huna jaman!!!!
Nimejuta hata kuweka hile comment yangu mwanzo kwenye huu ujinga wa clouds media group.
Haya mambo wamepanga kutafuta na kuvuta attentio za watu wala hakuna kufukuzana wala kusimamishwa.
Kwani ni lini uliwahi kuanza kusoma topic na kuelewa halafu ndipo ukacoment? Hivi humu wewe si ni kiwavi jeshi tu? Au ulidhani Lumumba wanalipia mpaka post za jukwaa la celeb?