Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
sidhani kama diva anaweza kuzuia maneno machafu toka mdomoni mwake mpaka aweze kufiti radio ya AZAM.
Aje TBC Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani kama diva anaweza kuzuia maneno machafu toka mdomoni mwake mpaka aweze kufiti radio ya AZAM.
Kwa habari zilizotufikia ni kwamba watangazaji maarufu wa clouds fm diva,b12,na mchomvu wamesimamishwa kazi kwa muda husiyojulikana kwa utovu wa nidhamu,.kosa kubwa ni kushndwa kujumuhka na wenzao sikuku ya miaka 14 ya clouds fm,pamoja na makosa mbalimbali yanayowakabili hayo yamethbitishwa na mkurugenzi wa vipindi sebastian maganga
Kiswahili pia ni tabu jamani!!!?
"Walikuudhi"
Unajiita Kaka halafu unaandika hivi!!??Spellings za aina gani hizo eti hara,twangara halafu huachi nafasi mmmh hata kuandika Kiswahili unashindwa.Hebu muwe mnaandika vizuri aibu eti..
hivi hulipwa sh. ngapi?
Clouds noma sana nakumbuka J2 iliyopita hata Dr. Isaack aliogopa kutaja neno kinega mpaka kwanza akaomba ruhusa kwa ruge kulitaja hilo neno maana mtu teja aliyekuwa anamuhoji aka yake ni kinega,na akasema huyu jamaa jina lake flan aka yake ntakuja kukutajia baadae ndio akampigia simu ruge jamaa anaitwa kinega vp tulitaje hewani? Ruge akamwambia haina noma we litaje.
DIVA, B 12, MCHOMVU OUT CLOUDS
by GLOBAL
Stori:- MUSA MATEJA
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi B 12, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi Diva, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.
Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu wa watangazaji hao.
Hata hivyo, madai ya mitaani yanasema kwamba watangazaji hao wamepigwa chini kwa kosa la kukacha sherehe za maadhimisho ya miaka 14 ya Clouds FM,yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar.
Risasi Mchanganyiko lilimvutia waya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumwuliza juu ya ishu hiyo ambapo alikiri.
Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na ofisi hivyo kusababisha usumbufu mkubwa ambao ulitulazimu kuingia gharama ambazo hazikutarajiwa.
Hatutakuwa nao kwa muda usiojulikana ingawa watu wengi wamekuwa wakinihoji juu ya hilo lakini watachotakiwa kuelewa ni kwamba hakuna ofisi isiyokuwa na sheria na taratibu za kuongoza watu wake, sasa hao wamevunja taratibu zetu, alisema Ruge bila kufafanua zaidi.
Alipoulizwa ni taratibu zipi watangazaji hao walizovunja alisema: Nashindwa kueleza kosa la kila mmoja ila naomba nieleweke kuwa hao watangazaji kwa sasa tumewasimamisha kwa muda usiojulikana wakati tukifikiria cha kufanya. Muhimu hapo ni kwamba wamekwenda kinyume na tulivyokubaliana.
Source: GPL
DIVA, B 12, MCHOMVU OUT CLOUDS Global Publishers
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
wabongo bana kila kitu mnaweka siasa you think small and u remain small for lifeDuh! tutasikia mengi. hii yote ni harakati za CHADEMA kuichukia CLOUDS Media