Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Balaaaa...yaani sijui alikua anadhani ataolewa[emoji2][emoji2][emoji2]
Nna kumbuka ndugu sisi Tena wahengaaa!!!!

Wahenga wa u-turn

Education is sexy

Wake wa wazungu

Mwalami alijua kumkomesha, kajitangaza anatoka nae hapajachelewa Z kabwela akawa anaoa chotara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiba anachinja kimya kimya. Nilitaman sana angemuoa Jojo sijui nini kilitokea. Walitengeneza kapo tamu.

Nae Kidoti alizama pale hapindui

Sema Jojo anapenda kweli, sema hanaga bahati toka enzi ya mzee wa basketball Thabeet na Mnyika wakiwa UD
 
Shekhe kuachwa
Halafu kachambwa kwamba yeye ni mgonjwa na aliuguzwa sana
Tena kuuguzwa kwenyewe ni kwa pesa za diva maana yeye kalaghabaho

Kaka zangu tafuteni pesaaaa
Tuna hakika?

Star haolewi na hohehahe
 
Kiba anachinja kimya kimya. Nilitaman sana angemuoa Jojo sijui nini kilitokea. Walitengeneza kapo tamu.
Kiba na Jojo nadhani dini ndo ilikua kikwazo ,Mzee ndunguru asingekubali mwanawe kua muislam weee...ila walipendana kweli
 
Mimi nilihisi jamaa anaweza oa pale nikaja kushangaa naona picha za harusi na bibi harusi ni mwingine [emoji1787] maisha haya.
Aaahh...kumuona diva wee...angekoma mbona[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]Enzi za leka dutigite diva alikua anaipromoti km na yeye kazaliwa kigoma Kwa sababu ya Zito
 
Nae Kidoti alizama pale hapindui

Sema Jojo anapenda kweli, sema hanaga bahati toka enzi ya mzee wa basketball Thabeet na Mnyika wakiwa UD
Yaani Jojo nae kawavuruga Jamani he he he...kimya kimyaa....soon tutaskia kaolewa na kitoto maana Vunja nae haeleweki Bado ujana mwingi
 
Back
Top Bottom