Balaaaa...yaani sijui alikua anadhani ataolewa[emoji2][emoji2][emoji2]
Nna kumbuka ndugu sisi Tena wahengaaa!!!!
Wazee hawana amsha amsha.Yaani sijui wanakosa wazee wenzao
Kiba anachinja kimya kimya. Nilitaman sana angemuoa Jojo sijui nini kilitokea. Walitengeneza kapo tamu.
Tuna hakika?Shekhe kuachwa
Halafu kachambwa kwamba yeye ni mgonjwa na aliuguzwa sana
Tena kuuguzwa kwenyewe ni kwa pesa za diva maana yeye kalaghabaho
Kaka zangu tafuteni pesaaaa
Mimi nilihisi jamaa anaweza oa pale nikaja kushangaa naona picha za harusi na bibi harusi ni mwingine [emoji1787] maisha haya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thubutuuu Kigoma hatoki boi [emoji1787]
Leo neijua kazi yk potiNaharibu uzi babe.
Choko mi simfagilii🤣Ila anakuelewa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiba na Jojo nadhani dini ndo ilikua kikwazo ,Mzee ndunguru asingekubali mwanawe kua muislam weee...ila walipendana kweliKiba anachinja kimya kimya. Nilitaman sana angemuoa Jojo sijui nini kilitokea. Walitengeneza kapo tamu.
Hee.... vayolensiiiii [emoji1]Nani ajichukulie midada mikubwa aache tubinti tudogo?!!!
Aaahh...kumuona diva wee...angekoma mbona[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]Enzi za leka dutigite diva alikua anaipromoti km na yeye kazaliwa kigoma Kwa sababu ya ZitoMimi nilihisi jamaa anaweza oa pale nikaja kushangaa naona picha za harusi na bibi harusi ni mwingine [emoji1787] maisha haya.
Yaani Jojo nae kawavuruga Jamani he he he...kimya kimyaa....soon tutaskia kaolewa na kitoto maana Vunja nae haeleweki Bado ujana mwingiNae Kidoti alizama pale hapindui
Sema Jojo anapenda kweli, sema hanaga bahati toka enzi ya mzee wa basketball Thabeet na Mnyika wakiwa UD
Yule aliyekwapua hela za FIFA halafu jiwe akamtenda!!Diva ni mtoto wa Jamal malinzi,aliyekuwa Rais wa soka Tanzania,TFF.