Una mavi kichwani wewe.Mtu kama huyo lazima anamahusiano na CDM au CUF tu
sasa hapendi vipi kitu asichokijua ?
Kitu usichokijua huwezi kusema hukipendi lakini pia kumbuka mtu huyu ni nini kwenye jamii ukijua Pata jibu ndio unihukumu pia, tunajifunza jambo moja tunapaswa kujipanga kama taifa uzarendo umepoteaHivi kwanini baadhi ya watu wanapenda kufikia hitimisho haraka haraka? Kwanini tumejenga mazoea ya kwamba tunayoyajua sisi, basi lazima na wengine wayajue kama sisi!!?? Kama wewe unajua kuimba wimbo wa Taifa, so what?!! Ni wewe! Tangu lini kwa mtu asiyejua wimbo wa Taifa (Tanzania) kwamba amekuwa hajitambui? Tena amekuwa mkweli kabisa kwamba haujui na haupendi! amesema wazi, nilidhani kwamba kwa kusema hayo ndio anajitambua, maana anajua asichojua na asichopenda. Labda kama kuna mengine, lakini kwa hili la Wimbo wa Taifa, hapana si haki kuhukumu. Mleta mada una mangapi huyajui maishani mwako ambayo wengine wanayajua, je na wewe kutuite hujitambui!! Hapana
hivi kwanini baadhi ya watu wanapenda kufikia hitimisho haraka haraka? Kwanini tumejenga mazoea ya kwamba tunayoyajua sisi, basi lazima na wengine wayajue kama sisi!!?? Kama wewe unajua kuimba wimbo wa taifa, so what?!! Ni wewe! Tangu lini kwa mtu asiyejua wimbo wa taifa (tanzania) kwamba amekuwa hajitambui? Tena amekuwa mkweli kabisa kwamba haujui na haupendi! Amesema wazi, nilidhani kwamba kwa kusema hayo ndio anajitambua, maana anajua asichojua na asichopenda. Labda kama kuna mengine, lakini kwa hili la wimbo wa taifa, hapana si haki kuhukumu. Mleta mada una mangapi huyajui maishani mwako ambayo wengine wanayajua, je na wewe kutuite hujitambui!! Hapana
DIVA HAJITAMBUI
Katika kipindi cha mkasi kilichoruka jana 21/12/2015 usiku Nilipigwa na mshangao wa kufa mtu pale muongoza kipindi Salama alipomuuliza Diva kama anaufahamu wimbo wa taifa akajibu kwa kifupi "siujui" salama hakuamini jibu hilo akamuanzishia wimbo huo ili kumsaidia hata kama alikuwa ameusahau akasema kwa msisitizo "kwanza huwa siupendi kabisa wimbo huo" kwanza nilijisikia ovyo na kuhisi kumchukia ghafla mtangazaji huyo wa clouds fm.
Acheni ujinga mbona philep mulugo alipokwenda south Africa alichemka na alikuwa waziri wa elimu ije kuwa huyu sio mbunge sio waziri sio diwani tatizo nn??
Huupendi wimbo wa taifa kisa viongozi wetu ni wezi mafisadi!ipo tofauti kubwa kati ya vitambulisho vya taifa yaani BENDERA,WIMBO WA TAIFA,NGAO YA TAIFA,RAMANI YA NCHI YA TANZANIA.Vitu hivi ndio vinavyo itofautisha Tanzania na nchi zingine ni hivyo ndio vinajenga kitu kinachoitwa utaifa wetu,mtu yeyote anapodai kuchukia,kutopenda,kutothamini mtu huyo kwa jina la staha tunasema hajitambui kwa sababu huwezi kutukana tumbo lililokuzaa.Hata mimi wimbo wa taifa unanikera Sana, eti mungu ibariki Afrika na viongozi wake. Hawa viongozi wezi wakubwa na mafisadi hawa ndio wabarikiwe? Big up Diva, we unaakili Sana. Umekataa kukaririshwa kama kasuku.
Ujinga hapa ni nini? ABCD ndio mwanzo wa alfabet na huwezi kudai unajua kusoma kisha ukadai huzijui hizo alfabet,mwanzo wa kila kitu kwa taifa lolote ni utambulisho wake yaani Bendera wimbo wa tafa na vitu vingine vinavyolitambulisha taifa husika kwa hiyo unapodai jukwaa hili linajadili mambo muhimu ya kisiasa siasa ipi isiyoanza na taifa tambua kuwa mada hii ni mtambuka inaweza kujadiliwa jukwaa lolote.Invisible HUU UZI hautakiwi hapa hili si jukwaa la ujinga kuna majukwaa kibao huyu kakosea hebu uhamishe huu uzi au ufutwe
Two option
Mleta mada nakukumbusha hapa tunajadili vitu muhimu kwa maslahi mapana ya taifa huwa hatupendi kujadili watu hasa ambao hawana madhara kwenye uchumi tafadhali usirudie tena kuleta hoja coco kama hii
Huupendi wimbo wa taifa kisa viongozi wetu ni wezi mafisadi!ipo tofauti kubwa kati ya vitambulisho vya taifa yaani BENDERA,WIMBO WA TAIFA,NGAO YA TAIFA,RAMANI YA NCHI YA TANZANIA.Vitu hivi ndio vinavyo itofautisha Tanzania na nchi zingine ni hivyo ndio vinajenga kitu kinachoitwa utaifa wetu,mtu yeyote anapodai kuchukia,kutopenda,kutothamini mtu huyo kwa jina la staha tunasema hajitambui kwa sababu huwezi kutukana tumbo lililokuzaa.