Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change


Kilichomuondoa huko si hicho, ni kutotokea kwenye hitimisho la birthday ya Clouds FM pale mwembeyanga Dar. Hayo pia yamewakuta akuna Mchomvu na B12.

Kuna watu wakishapataga umaarufu, wanaanza kujiona wapo juu ya chombo kilicho au kinachowapa umaarufu na kuanza kukidharau chombo hicho.

Haya yapo hata kwenye vyama vya siasa. Wakiadhibiwa hawakawii kupita kulalama mitaani kwamba wameonewa.
 

mkuu umekuaje?? Umeendika nini? Mbona ulichoandika hakina mtiririko wala haieleweki hoja ni nini..
 
sipati picha akiandika live kwa mkono inakuwaje? atakuwa anachora madubwasha.
 
Jamani hakuna aliye mkamilifu duniani.Nashangaa kwa wale wanaomponda badala ya kumwelekeza kurekebisha posts zake.

Hiyo ndo busara.
 

Ivi ww una elimu gn?! Ivi operation tokomeza ilikuachaje?!
 
Kwa mwalim km mimi sipati shida kumuelewa, nshaufaham uandishi wake.

Anatumia simu touch screen, then harudii kuangalia km kaandika sawa.
Ndo matokeo yake haya, inabidi u edit posts zake wewe unaezisoma

Noted,Thank you teacher vere mache.
 
We vp kwani? Ulikuwa unataka kuelezea kitu gani? Kwani watoto wa darasa la nne siku hizi pia wapo JF?
Ushauri muda ambao unautumia humu JF upunguze kwa asilimia 60 ili upate muda wa kujisomea na kujifunza kuandika vizuri.
 

Umeandikaje! Watamf.....rahi!
 
Mkuu, Pdidy sijawahi kukuelewa hata siku moja, ebu andika kwa lugha iliyoizoea tukuelewe.
 
Last edited by a moderator:

Umenunua simu mpya?!
 
Kusema kweli mi nimemwelewa alichokuwa anamaanisha pamoja na kasoro ndogo ndogo za kiuandishi, nyie wachangiaji achezi uzembe wa kufikiria bana, agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 

Hivi kwa waliosikia aliongea mambo gani!?
 
nimependa thread ilihusu diva sasa Pdidy anasambuliwa muandiko wake, jamani jf raha sanaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kusema kweli mi nimemwelewa alichokuwa anamaanisha pamoja na kasoro ndogo ndogo za kiuandishi, nyie wachangiaji achezi uzembe wa kufikiria bana, agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Kweli wewe ZeGeBoVu, .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…