Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change


Ndo umeandika nn sasa
 
ha ha ha ha ha ha ha ha.... Kya kya kya kya kya kya...
Huyu jamaa mtoa post hii ni mara yangu ya 15 hv nasoma threads zake,lakini sijawahi kumuelewa hata siku moja! Mbaya zaidi watu wanamkosoa kila siku lakini akirudi anaandika utumbo! So kila nikianza kupitia comments zenu wadau,nacheka mpaka basi.
Ila kuna mawili, 1. Anatumia simu ya touch ie Huawei,Tecno,Samsung Galaxy na akija kuandika simu inakuwa katika Prediction On or T9 Dictionary inakuwa On instead of Off.
2. Atakuwa ana kidogo matatizo kwenye ubongo,au haoni vizuri labda. Ni hayo..ama anatafuta kick kwa style hii. Au yote yaweza kuwa majibu.
 

aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…