Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change

Kusema ukweli sijawahi kabisa kumwelewa Pdidy, iwe thread au comment.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hakuna aliye mkamilifu duniani.Nashangaa kwa wale wanaomponda badala ya kumwelekeza kurekebisha posts zake.

Hiyo ndo busara.

Ukisoma comment na thread zake, hakika utarudi kufuta hii comment.
 
Kusema kweli mi nimemwelewa alichokuwa anamaanisha pamoja na kasoro ndogo ndogo za kiuandishi, nyie wachangiaji achezi uzembe wa kufikiria bana, agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
mbona umeamua na kuchafua hali ya hewa kabisa, au umeandika ukiwa huwani.???
 
Kama KUNA VITU VYA KUMSAIDIA NI KUMSHAURI DADAETU DIVA ALIESIMAMISHWA. CLOUDS KWA. UTOVI WA NIDHAMU

NA KAMA MMEKUWA MKIMSIKIA NAJUA ULIKUWA NA WATU NJE WANAKUFANYA. UFANYE VILE AMA.USEME YALE REDION. KUWA MAKINI MWANAMKE TABIA WENGI WANAMINI ULICJOKUWA UNAONGEA NI TANIA YALO HALISI

KINGINE JIZUIE CHUJA UNACHOONGEA KUA CLOUDS INASIKILIZWA NA WENGI PAMOJA NA WATOTO KWA MANENO YALE HATA WAZAZI WAKO LAZIMA WAFUNGE REDIO

JIREKEBISHE USIANGALIE WALIOSHABIKIA KUONDOLQ BADO MDOGO UNAWAKA KABISA KWENYE FANI WASIOKUA.MAISHA WATAFIRAHI ILA MI NAAMINI UKICHANGE HATA TBC UNAFIT

Andika lugha inayoeleweka!
 
Mods watusaidie kufuta huu uzii na huyu jamaa akayafanyie kazi mapungufu yake!
 
Kama KUNA VITU VYA KUMSAIDIA NI KUMSHAURI DADAETU DIVA ALIESIMAMISHWA. CLOUDS KWA. UTOVI WA NIDHAMU

utovi ni UTOVU

NA KAMA MMEKUWA MKIMSIKIA NAJUA ULIKUWA NA WATU NJE WANAKUFANYA. UFANYE VILE AMA.USEME YALE REDION. KUWA MAKINI MWANAMKE TABIA WENGI WANAMINI ULICJOKUWA UNAONGEA NI TANIA YALO HALISI

Hapa amemaanisha kuna watu waliokuwa wanafanya diva aseme yale ayasemayo redioni na amemshauri diva awe makinj kwa sababu watu wanaamini alichokuwa anaongea redioni ni tabia yake halisi

KINGINE JIZUIE CHUJA UNACHOONGEA KUA CLOUDS INASIKILIZWA NA WENGI PAMOJA NA WATOTO KWA MANENO YALE HATA WAZAZI WAKO LAZIMA WAFUNGE REDIO
hapa panaeleweka

JIREKEBISHE USIANGALIE WALIOSHABIKIA KUONDOLQ BADO MDOGO UNAWAKA KABISA KWENYE FANI WASIOKUA.MAISHA WATAFIRAHI ILA MI NAAMINI UKICHANGE HATA TBC UNAFIT
hapa amemshauri ajirekebishe asiwajali walioshabikia kuondoka kwake kwa sababu yeye bado ni star na nyota yake iko juuu anaweza kupata kazi hata tbc akafit

nimewaelewesha kwa niaba yake kasema samahani kwa ambao huwa hawaelewi akiandikacho yeye ni mtu wa china mjasiriamali anauza maua kariakoo so kiswahili anajifunza taratibu bado hajajua kutofautisha na kutumia aina saba za maneno
 
Kama KUNA VITU VYA KUMSAIDIA NI KUMSHAURI DADAETU DIVA ALIESIMAMISHWA. CLOUDS KWA. UTOVI WA NIDHAMU

NA KAMA MMEKUWA MKIMSIKIA NAJUA ULIKUWA NA WATU NJE WANAKUFANYA. UFANYE VILE AMA.USEME YALE REDION. KUWA MAKINI MWANAMKE TABIA WENGI WANAMINI ULICJOKUWA UNAONGEA NI TANIA YALO HALISI

KINGINE JIZUIE CHUJA UNACHOONGEA KUA CLOUDS INASIKILIZWA NA WENGI PAMOJA NA WATOTO KWA MANENO YALE HATA WAZAZI WAKO LAZIMA WAFUNGE REDIO

JIREKEBISHE USIANGALIE WALIOSHABIKIA KUONDOLQ BADO MDOGO UNAWAKA KABISA KWENYE FANI WASIOKUA.MAISHA WATAFIRAHI ILA MI NAAMINI UKICHANGE HATA TBC UNAFIT

Hello tunaomba urudie coz huelewek
 
Hahaha huyu mtu wa makambako ndio awe mchina?
 
huyo ndo Pdidy...anaandika Kiswahili kibovu tokea 2007
 
Last edited by a moderator:
halafu amekaa kwa pembeni anachungulia mnavyohangaika nae!
:couch2:
 
Kama KUNA VITU VYA KUMSAIDIA NI KUMSHAURI DADAETU DIVA ALIESIMAMISHWA. CLOUDS KWA. UTOVI WA NIDHAMU

NA KAMA MMEKUWA MKIMSIKIA NAJUA ULIKUWA NA WATU NJE WANAKUFANYA. UFANYE VILE AMA.USEME YALE REDION. KUWA MAKINI MWANAMKE TABIA WENGI WANAMINI ULICJOKUWA UNAONGEA NI TANIA YALO HALISI

KINGINE JIZUIE CHUJA UNACHOONGEA KUA CLOUDS INASIKILIZWA NA WENGI PAMOJA NA WATOTO KWA MANENO YALE HATA WAZAZI WAKO LAZIMA WAFUNGE REDIO

JIREKEBISHE USIANGALIE WALIOSHABIKIA KUONDOLQ BADO MDOGO UNAWAKA KABISA KWENYE FANI WASIOKUA.MAISHA WATAFIRAHI ILA MI NAAMINI UKICHANGE HATA TBC UNAFIT

Hata mimi sijaelewa kabisa yaani kila nikisoma sentensi najipa moyo nitaelewa ya mbele kustuka nimefika mwisho, alikuwa ananiacha taratibu, ni maneno ya kawaida lakini hayaeleweki kabisa.
 
Kama KUNA VITU VYA KUMSAIDIA NI KUMSHAURI DADAETU DIVA ALIESIMAMISHWA. CLOUDS KWA. UTOVI WA NIDHAMU

NA KAMA MMEKUWA MKIMSIKIA NAJUA ULIKUWA NA WATU NJE WANAKUFANYA. UFANYE VILE AMA.USEME YALE REDION. KUWA MAKINI MWANAMKE TABIA WENGI WANAMINI ULICJOKUWA UNAONGEA NI TANIA YALO HALISI

KINGINE JIZUIE CHUJA UNACHOONGEA KUA CLOUDS INASIKILIZWA NA WENGI PAMOJA NA WATOTO KWA MANENO YALE HATA WAZAZI WAKO LAZIMA WAFUNGE REDIO

JIREKEBISHE USIANGALIE WALIOSHABIKIA KUONDOLQ BADO MDOGO UNAWAKA KABISA KWENYE FANI WASIOKUA.MAISHA WATAFIRAHI ILA MI NAAMINI UKICHANGE HATA TBC UNAFIT

Hii sijui ni lugha gani, but nilichoelewa ni kuwa diva kasimamishwa Clouds thanks, next time chagua kuandika kiswahili au kingereza tukuelewe, Nawasilisha.
 
hapa amemshauri ajirekebishe asiwajali walioshabikia kuondoka kwake kwa sababu yeye bado ni star na nyota yake iko juuu anaweza kupata kazi hata tbc akafit

nimewaelewesha kwa niaba yake kasema samahani kwa ambao huwa hawaelewi akiandikacho yeye ni mtu wa china mjasiriamali anauza maua kariakoo so kiswahili anajifunza taratibu bado hajajua kutofautisha na kutumia aina saba za maneno

wewe pia ban inakuhusu
unatasfisiri madudu
 
Back
Top Bottom