Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

Huyu thamani yke ni buku tu,kila kukicha anakuja na kiki mpya ila zinakua kiki mfu
 
Ule mjengo kanisa wake hajamaliza?Itakuwa hiyo ml 500 ni ya kumalizia mjengo.
 
kama huwa anakunya noti za dola 100 sawa.
 
Itakua ina TV ndani ndio maana anataka mahari yote hiyo
Anajifariji huyo... Kwanza katika wanawake wenye sifa za kuolewa huyo hana hata moja....hata wangesema bure siwezi kuoa huo uchafu wa kujiproud wakat hata k.... Hajui kuosha
 
Ukiona na kuyasikia yote haya kwa mtu yoyote ujue ana stress kibao.
Siku zote masikini haishi kuchora na kuota hela nyingi ili kujifariji tu mbona anayopitia ni mazito na mengi.
Sio tu mil 500 ambazo Diva mweyewe anajua haziwezi kupatikana mpaka siku anakufa kibudu, ila hata mtu nwenye akili timamu hawezi kuwekeza muda wake kumuoa huyu raia kama mke, atakachopata zaid ni wale wanaotaka kukidhi haja zao za kimwili fasta halafu waondoke kuwafata wake zao na familia zao huko kama walivyofanya kina GK na vile vi green warriors ....mbona Serengeti ina hadhi kubwa ya kitaifa.
Hayupo mwanaume duniani atakayethubutu kuoa tatizo na huwa wanaume hawataki hizi shida, only.....will be considered na sio mbwembwe za kiinglishi.
 
Hata akienda kujiuza Ohio street kwa miaka 10 hiyo fedha hapati. Sura kama lorry la FIAT 682 N 3,!!
 
Kusema kweli sijawah kuona mwanamke mbovu kishepu na kisura kama diva..yani hata avue nguo zote mbele yangu lazima nipige kwa kuvuta picha ya mia khalfa
 
Mbona kasema set that joke aside....which means hiyo mahari ya 500m ametania tu ila kwenye ung'eng'e, uhandsome, na mshiko kamaanisha.

Huyu dada hana tofauti na chidi benz kiakili, standard zenyewe za uhandsome alizoziset sasa...zitto, crazy GK et al... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
halafu sijui kwa nini mademu matinganya kama haya hayanipi mizuka kabisa
 
Sijaona cha kumfanya mtu kulipia mil 500 hapo. Au anataka hela ili isaidie kuendesha kesi ya baba yake
 
2018 Kasema mahari M500

2022 atasema mahari M300

2025 atasema mahari M 100

2028 atasema mahari M10

2030 Ata andika uzi humu "natafuta mume " bila kuweka vigezo
2030 mbali mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…