Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

View attachment 716779 Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi milioni 500.

Hii sio mara ya kwanza kwa Diva kuweka kigezo cha kuolewa na mwanaume mwenye pesa mbele kwani mara nyingi amekuwa akisema kuwa hawezi akaolewa kwa mahari ndogo.

Siku ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amekumbushia Tena vigezo vikubwa kwa mwanaume ambaye atakubali amuoe ambavyo ni awe tajiri kiasi ya kwamba aweze kutoa mahari ya milioni 500 lakini pia awe anajua kuongea kingereza:

"Kunioa ni milioni 500….set that jokes aside am deadly serious….make sure uwe unaongea English yenyewe hasa… uwe smart uwe handsome…..uwe loaded…No broke niggas in 2018 tupendane kwa faida, you can say wheteves just heard worse, seen worse SMHFG Nothing mean to me…..harsh ain’t new to me I heard it all…..Mwenye povu hana hela ruksa na povu lako nina Omo na jiki plus toothbrush na Colgate jus there for you dummy”.

Diva ametangaza ruksa mwenye hizo sifa ajitokeze hii imekuja baada ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo fleva Heri Muziki baada ya kutoswa hewani.


Mpekuzi
Shida zinadhalilisha sana watu. Kwa hiyo anataka atumie mwili wake kumaliza shida za kwao?
 
Hajakosea...

Anamanisha kwamba ukitaka show time anakupa unapiga unasepa...

Ila ukitaka kumuweka ndani ndiyo hiyo million500...

Cc: mahondaw
 
Anataka akamsaidie baba yake labda huko alipo.
 
Mmhhhhh wala asiwatishe wakuuu ,iyo nikauli yake.

Embu tumpe miaka mitatu mbele ,,, tutamzalisha bila hata kumuoa....
Wanaume ni wajanja sana, watagonga na kusepa, hakuna kufuga kunguru, baada ya kugongwa mara 3 baasi hata akipigiwa simu..oooh niko busy piga baadae
 
Diva kusema ukweli nakupenda sana. Ila umeharibu. Yaan 500 mil wakati too much used ungekuwa bikra hapo afadhali
 
Si analiwa jicho ndomana, hadi video yake nilishaiona akiliwa jicho live na li jamaa
 
2018 Kasema mahari M500

2022 atasema mahari M300

2025 atasema mahari M 100

2028 atasema mahari M10

2030 Ata andika uzi humu "natafuta mume " bila kuweka vigezo
 
Mbona kasema set that joke aside....which means hiyo mahari ya 500m ametania tu ila kwenye ung'eng'e, uhandsome, na mshiko kamaanisha.
set jokes aside maana yake weka utani pemben yan hatanii yupo serious
 
Back
Top Bottom