Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

Aisee jamani oneni miandiko ya hawa watu mpaka nachoka najiuliza hawa watu sura na mwandiko ni mbingu na ardhi
 

Attachments

  • FB_IMG_1732107003558.jpg
    34.3 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1732106999424.jpg
    39.8 KB · Views: 1
tunawambia watu wajiajiri wakianza kufanikiwa na kununua range mbovu tunawasweka ndani, haya mambobya hovyo sijui lini yataisha? nitaanza kutembea na mawe mfukoni nikisikia mtu anasema vijana mjiajiri namponda mawe
 
Kwa sasa ni mwendo wa barua tu
 
Kwa moyo wangu wa dhati kabisa nimekubali msamaha wao LAKINI pia nichukue nafasi hii kama Mtanzania kuwaombea msamaha kwa Watanzania na Serikali kwa ujumla.
kwa wanaofuatilia habari; kuna watangazaji wachache wenye nia njema na wamekuwa na msaada kwa namna moja au nyingine kwenye jamii ILA kwa kuwa hili tukio limekuwa na sura ya kitaifa ni kweli wamekosea.
Nyongeza; Mimi sina maslahi yoyote na hao wahusika zaidi ya kuwaona tu kwenye vyomba vya habari
 
vp mmiliki wa jengo,wakandarasi,watoa vibali washakamatwa ???

 ova
 
Huyo niffer aendelee kushikiliwa hata barua ameandika kwa dharau pia na haijanyooka waziri mkuu shikilia hapohapo adabu imwingie alijua anaweza kutupeleka peleka kama anavyompelekesha mama yake..
hilo la kuchangisha kweli inawezekana kuteleza na adhabu yake isiwe kubwa kinachoogopesha ni "I HAVE A STRONG ARMY WITH ME" Ina maana kuna watu wanaruhusiwa kumiliki majeshi!? unajua unaweza kulichukulia kiurahisirahisi tu hilo neno lakini likipuuziwa linaweza kuleta madhara makubwa sana mda wowote,na mbaya zaidi ni kama kejeli kwa kiongozi mkubwa wa nchi
 
Ila sie wanaume bana nyege zinatusumbua sana.yani hayo majanajike kumbe hata kuandika hayajui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…