Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

Hakika, inapaswa kuwa hivyo lakini
"All animals are equal, but some animals are more equal than others"
 
Na bado mnashangaa kwanini sera za nchi hazisimamiwi wala kuheshimiwa wakati mnampa majukumu makubwa Kama hayo mtu alieisha amua kushughulika na maua!

Kwahiyo ubalozi wa nchi ni zawadi kwa wana sio?
SIASA za mtu mweusi.

Watu mmegeuza nchi Kama gagulo la bibi zenu kwamba mnapeana mapande tu kisa kujuana matokeo yake tunaelekea kwenye banana republic!
 
Kwa sababu tu yanafanyika na kuachwa yapite haina maana kwamba ni halali kufanyika!
 
kuna taarifa walikuwa wanatindua kuongeza underground, mhandisi alikataa kuendelea na kazi akapigwa kalamu, machawa wakabaki wanatindua
πŸ˜„ basi hao machaawa wakamatweeee

Ova
 
Nimekumbuka ile Comment ya walimu "Improve your hand writing" Diva jina lake na Sauti yake ndio anatuandikia hivi?πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” Au ndio alikua Science.
 
Hio ni mbinu tu ya kumuondolea aibu Majaliwa kama ngoma ingeenda mahakamani.

Subiri kuona wanaachiwa bila mashariti.
 
Yule aliyesema ana jeshi kubwa kabaki mwenyewe? Haya wasamehewe tu waendelee na mambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…