Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakika, inapaswa kuwa hivyo lakiniBasi sawa, hii ipitishwe na iwe sheria rasmi kwamba mtu mwingine yeyote akitenda kosa pasipo kujua ama kwa bahati mbaya, anaweza akaandika barua ya kuomba radhi ili asanehewe.
Sio kwamba nina wachukia wala sipendi wasamehewe.... Lahhhh ninatamani kuona haki na usawa ikitendeka kwa WaTanzania wote, na sio kwa ukubwa wa majina ama umaarufu
"All animals are equal, but some animals are more equal than others"