Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

Comments za Wanazengo sasa🤣🤣🤣

Utakuta kuna watu hapa Miandiko yao ni mibaya wa Diva una afadhali..Ila nao wameamua kumsema mwenzao😅
IMG-20241114-WA0078.jpg

Kunywa Pepsi Big take away 🤣🤣🤣
 
Hahaha, mkuu unavyoona hapo kuna mwenye ubavu wa kupambana na waziri mkuu? We wadanganye tu. Watu mna roho mbaya kweli.
Diva mbona alikuwa kwenye kipindi chake Lavidavi na ameipiga ile nyimbo Baba Lao ya Diamond anamsifia Majaliwa PM mwanzo mwisho
 
Ukikamatwa na Wataliban wakasema piga shahada ama wanakuua, unapiga shahada tu halafu ukishapita kizingiti chao unaweza kujielezea vizuri huko mbele mradi wasikuue tu.

Ndicho kilichofanyika hapa.
 
Siwafahamu kabisa hawa Niffer na Diva. I don't who they are.
It is interesting jinsi wanavyoomba msamaha na jinsi wanavyotaka kipewa Ubalozi.
Lakini sioni kosa walilofanya.
Kama shida ilikuwa ni kuogopa matapeli,bado sioni kama it was necessary to apprehend them.
Naona kama vile Waziri Mkuu amefanya collosal mistake,historic mistake.
Kama vile Godbless Lema alivyosema anataka kuwafukuza watu Chadema.
Umimi. Hutaki watu wengine washiriki katika uokoaji,you want to be the sole hero.
 
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:

• Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
• Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa
• Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

Baada ya kutenda makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) walikamatwa na jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na wameendelea kubaki mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
Hivyo kutokana na kutambua makosa yao wote wawili kwa pamoja, wameandika jumbe za kuomba radhi na kuomba kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.
Wameshamrahisishia Kazi hakimu.. Kuomba radhi ni kukiri kosa! Wakikutana na hakimu kimeo wamekwisha!!!
 
Siwafahamu kabisa hawa Niffer na Diva. I don't who they are.
It is interesting jinsi wanavyoomba msamaha na jinsi wanavyotaka kipewa Ubalozi.
Lakini sioni kosa walilofanya.
Kama shida ilikuwa ni kuogopa matapeli,bado sioni kama it was necessary to apprehend them.
Naona kama vile Waziri Mkuu amefanya collosal mistake,historic mistake.
Kama vile Godbless Lema alivyosema anataka kuwafukuza watu Chadema.
Umimi. Hutaki watu wengine washiriki katika uokoaji,you want to be the sole hero.
Kuchangisha hela kwa ajili ya majanga ya kitaifa bila kibali ni kosa
 
yule dogo akiyekuwa anauza iphone 16 za android kupitia kwa niffer nasikia kachora, hajapost chochote na hajulikani alikokimbilia, we acha amri ya kukamatwa inatisha
 
mmoja ni mjukuu wa malinzi na mwingine mjukuu wa bilikwija, yaani wote wajukuu wa wazee wa mjini, majaliwa atumie hekima
Alafu wote ni wahaya......ila wahaya kwakweli sijui nani aliturogerezea utapelitapeli😂😂😂
 
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:

• Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
• Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa
• Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

Baada ya kutenda makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) walikamatwa na jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na wameendelea kubaki mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
Hivyo kutokana na kutambua makosa yao wote wawili kwa pamoja, wameandika jumbe za kuomba radhi na kuomba kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.

Sasa aliswfirishwa kwenda Dar es salaam kuandika hiyo barua?
 
we acha tu, hii nchi unaweza safirishwa kutoka dar hadi katavi halafu wakakwachia kwa kuona hawana nia na kesi, kuna jamaa alikuwa na kesi mbili za wizi moja tarime nyingine Geita, alikuwa anapelekwa geita tarime kila wiki hadi akaomba wamuue tu apumue. Hii inategemea na jiografia ya jinai
 
Wanaokusafirisha wanalipwa night allowance tatu, on transit allowance tatu
 
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:

• Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
• Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa
• Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

Baada ya kutenda makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) walikamatwa na jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na wameendelea kubaki mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
Hivyo kutokana na kutambua makosa yao wote wawili kwa pamoja, wameandika jumbe za kuomba radhi na kuomba kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.
Kutokujuwa sheria hakuwaondolei tuhuma.

Sheria zifate mkondo wake.
 
Back
Top Bottom