Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Comments za Wanazengo sasa🤣🤣🤣
Utakuta kuna watu hapa Miandiko yao ni mibaya wa Diva una afadhali..Ila nao wameamua kumsema mwenzao😅
Kunywa Pepsi Big take away 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comments za Wanazengo sasa🤣🤣🤣
Utakuta kuna watu hapa Miandiko yao ni mibaya wa Diva una afadhali..Ila nao wameamua kumsema mwenzao😅
Diva mbona alikuwa kwenye kipindi chake Lavidavi na ameipiga ile nyimbo Baba Lao ya Diamond anamsifia Majaliwa PM mwanzo mwishoHahaha, mkuu unavyoona hapo kuna mwenye ubavu wa kupambana na waziri mkuu? We wadanganye tu. Watu mna roho mbaya kweli.
Usimchukulie serious huyo bado mtu poli tu ana ujinga na ushamba mwingi sana humu JFUnajichanganya, unasema warembo halafu unasema wanajifanya waremboo.
Wameshamrahisishia Kazi hakimu.. Kuomba radhi ni kukiri kosa! Wakikutana na hakimu kimeo wamekwisha!!!Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:
• Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
• Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa
• Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Baada ya kutenda makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) walikamatwa na jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na wameendelea kubaki mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
Hivyo kutokana na kutambua makosa yao wote wawili kwa pamoja, wameandika jumbe za kuomba radhi na kuomba kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.
Kuchangisha hela kwa ajili ya majanga ya kitaifa bila kibali ni kosaSiwafahamu kabisa hawa Niffer na Diva. I don't who they are.
It is interesting jinsi wanavyoomba msamaha na jinsi wanavyotaka kipewa Ubalozi.
Lakini sioni kosa walilofanya.
Kama shida ilikuwa ni kuogopa matapeli,bado sioni kama it was necessary to apprehend them.
Naona kama vile Waziri Mkuu amefanya collosal mistake,historic mistake.
Kama vile Godbless Lema alivyosema anataka kuwafukuza watu Chadema.
Umimi. Hutaki watu wengine washiriki katika uokoaji,you want to be the sole hero.
she is free, we kaa hapohapo jiapanda ya kisutuKama watafikishwa mahakamani jela inawahusu maana huko kutokukujua sheria siyo utetezi
Kesi imeishia polisi, huko ndio kuna kuomba msamahashe is free, we kaa hapohapo jiapanda ya kisutu
Alafu wote ni wahaya......ila wahaya kwakweli sijui nani aliturogerezea utapelitapeli😂😂😂mmoja ni mjukuu wa malinzi na mwingine mjukuu wa bilikwija, yaani wote wajukuu wa wazee wa mjini, majaliwa atumie hekima
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:
• Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
• Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa
• Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Baada ya kutenda makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) walikamatwa na jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na wameendelea kubaki mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
Hivyo kutokana na kutambua makosa yao wote wawili kwa pamoja, wameandika jumbe za kuomba radhi na kuomba kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.
🤣🤣🤣Kesi imeishia polisi, huko ndio kuna kuomba msamaha
Mtuhumiwa: "Samahani nilikuwa sijui kama ni kosa "
Polisi: "Una shilingi ngapi "
..
we acha tu, hii nchi unaweza safirishwa kutoka dar hadi katavi halafu wakakwachia kwa kuona hawana nia na kesi, kuna jamaa alikuwa na kesi mbili za wizi moja tarime nyingine Geita, alikuwa anapelekwa geita tarime kila wiki hadi akaomba wamuue tu apumue. Hii inategemea na jiografia ya jinaiSasa aliswfirishwa kwenda Dar es salaam kuandika hiyo barua?
Wanaokusafirisha wanalipwa night allowance tatu, on transit allowance tatuwe acha tu, hii nchi unaweza safirishwa kutoka dar hadi katavi halafu wakakwachia kwa kuona hawana nia na kesi, kuna jamaa alikuwa na kesi mbili za wizi moja tarime nyingine Geita, alikuwa anapelekwa geita tarime kila wiki hadi akaomba wamuue tu apumue. Hii inategemea na jiografia ya jinai
Kutokujuwa sheria hakuwaondolei tuhuma.Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.