Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Mwee sa yeye afanye nini tenaAm serious mkuu....We imagine kama ataamua ku outsource hizo ishu mbili.....Akampa Jay dee kazi ya kumtungia wimbo, kisha akampa v money tenda ya kuuimba...Unadhani patatosha hapo...Diva ni noma yani
Kuna wimbo diva aliimba na diamond na ndo chanzo cha bifu Lao nilikuwa nauskia mawingu fmHivi kuna mtu amewahi kuusikia wimbo wa diva? Na kwakweli nyimbo za Adam nimesikia moja lakini sidhani kama ni heat
akijibu hili swali atakua ameshajua tatizo linalo msibu linatokana na nini......yeye ashawahi kupiga wimbo wa sam misago
Mwee sa yeye afanye nini tenaAm serious mkuu....We imagine kama ataamua ku outsource hizo ishu mbili.....Akampa Jay dee kazi ya kumtungia wimbo, kisha akampa v money tenda ya kuuimba...Unadhani patatosha hapo...Diva ni noma yani
Diva ni mwanamuziki mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa tanzania...Sema ana ishu mbili tu ambazo akizisolve atakuwa juu kuliko hata v-money na Jide...Tatizo ni kuwa hajui kuimba na kutunga TU..........Akiweka sawa hayo tu......Aaaaaaah mbona mtapagawa
Ni asili ya kabila lake japo halipendi anapenda makabila ya TangaKidada kinapenda sifa hiki sijapata kuona.
Mkuu comment yako imenichekesha sana..daaa Diva akiiona atalia..Diva ni mwanamuziki mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa tanzania...Sema ana ishu mbili tu ambazo akizisolve atakuwa juu kuliko hata v-money na Jide...Tatizo ni kuwa hajui kuimba na kutunga TU..........Akiweka sawa hayo tu......Aaaaaaah mbona mtapagawa