Kumbe kawa cheupe siku hizi,maana sijamuona kitambo sana.
Ha ha haSio mwimbaji huyo....abaki akiimba akiwa anaoga tu bafuni au akiwa anakata gogo
Huwa anapenda attention za reja reja....Huyu diva sijui kuna nati zimelegea, huwa yupo kama fyatu hivi
Kinaniboa na vile kujifanya mzungu ndio kabisa kinajipoteza.Ni asili ya kabila lake japo halipendi anapenda makabila ya Tanga
Hahaha jamani.Diva ni mwanamuziki mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa tanzania...Sema ana ishu mbili tu ambazo akizisolve atakuwa juu kuliko hata v-money na Jide...Tatizo ni kuwa hajui kuimba na kutunga TU..........Akiweka sawa hayo tu......Aaaaaaah mbona mtapagawa
Kama kweli yuko siriaz leo usiku nasisitiza leo apige wimbo wa jide ndi ndi ndi
Anaimba shobo 2puHivi anaimbaga vitu gani me sijawahi kumuelewa
Imba na wewe kama ni simpleSiku hizi mziki umekua mwepesi sana.. kila mtu anataka aimbe tu. Sasa huyu anaimba nini? Mwenye iyo nyimbo ake tafadhar
hahahahaAnaimba shobo 2pu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hahahaha
Mbona yeye na huyo Adam mchomvu Nyimbo Za Lady Jaydee hawapigi hapo Clouds kwanza anaimba nini heri mchomvu angalau
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amesema nyimbo zake pamoja na za mtangazaji mwenzake, Adam Mchomvu zinabaniwa na redio zingine, kitu ambacho anaona si sawa.
Anasema redio za mikoani ndizo zimekuwa zikiwapa support bila kujali kuwa wanatoka Clouds lakini redio karibu zote za Dar zimekuwa zikibania nyimbo zao.
Diva ambaye anaandaa album yake, The Life of The Diva, amesema kuwa hicho ni kitu ambacho angependa kuona kinafutika.
“Mimi naona wako so unprofessional, mbona sisi Clouds FM watu wazuri, mimi Sam Misago kaja, katoa wimbo ataitwa kwenye XXL nyimbo yake itachezwa, sisi mbona nyimbo zetu hamchezi?” amehoji Diva.
“Nilipeleka nyimbo East Africa Radio na ina haki zote za kuchezwa na haikuchezwa kwasababu natoka Clouds Media, kwanini wanatufanyia hivi? Hii ni biashara, wao wafanye kazi zao, na sisi tufanye kazi zetu lakini when it comes to music, sisi tunafanya serious kabisa,” amesisitiza.
Chanzo: Bongo 5
Hivi kumbe Diva naye ni mwanamuziki? Tobaaa muziki unaingiliwa kwa kwelisiku moja akijielewa ndo atajua kwann hawapigi nyimbo zake,dada angu hujui kuimba,basi