Diva: Siwezi kudate na mwanaume yeyote wa Bongo Movie kwa sababu hawajui kiingereza

Diva: Siwezi kudate na mwanaume yeyote wa Bongo Movie kwa sababu hawajui kiingereza

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi.

Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200am ezidi kuongeza vigezo vya mwanaume anaye hitaji kumuoa au kuwa na yeye kwenye mahusiano.

Diva the boss akihojiwa na kituo fulani aliweka wazi kuwa kamwe hatoweza kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote wa bongo movie kwakuwa hawajui kingereza na yeye anapenda mwanaume mwenye akili nyingi na anayejua kingereza.

Wasalaam
 
Wasalaam wana jamvi.

Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200...amezidi kuongeza vigezo vya mwanaume anaye hitaji kumuoa au kuwa na yeye kwenye mahusiano...
Diva the boss akihojiwa na kituo fulani aliweka wazi kuwa kamwe hatoweza kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote wa bongo movie kwakuwa hawajui kingereza na yeye anapenda mwanaume mwenye akili nyingi na anayejua kingereza.....

Pia kwa habari nilizozipata ile nyumba aliyokuwa ana jenga imeporomoka kwakuwa baadhi ya mafundi walikuwa wana muibia cement na kuzidisha udongo kwenye matofali na zege hivyo ata anza kujenga upya....

Angekuwa ' Mjanja ' na Mtoto wa Kishua hao ' waliombaioloji ' wangesema kuwa ana ' Mbunye ' Dampo la Pugu? Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Angekuwa ' Mjanja ' na Mtoto wa Kishua hao ' waliombaioloji ' wangesema kuwa ana ' Mbunye ' Dampo la Pugu? Naomba niishie hapa tafadhali.
aiseeeeeeeeeeeeee
 
Neo Colonialism haijawahi kutuacha salama , ndiyo walikuwepo Pan Africanist kwani waliliona hili mapema , R.I.P Our former Leaders of Pan Africanist , mlitufundisha Waafrika kujithamini lakini mmeondoka lengo likiwa halijafikiwa.
 
Mijitu mingine ni mijinga mpaka inachefua. Nani kamdanganya huyu ya kwamba kuongea kingereza ndio akili kubwa? Mijitu mingine bure kabisa. Kuchamba kwingi........, utachagua mpaka uwe kibogoyo kwa uhenga.
 
Back
Top Bottom