Diva: Siwezi kudate na mwanaume yeyote wa Bongo Movie kwa sababu hawajui kiingereza

4026d9c9d8da90f55879a62acf2c97cb.jpg

Et mzuri kuliko watangazaji wote? Phewww

Kingereza chenyewe anachoongea kibovu kama cha kwangu, angekuwa ata anakingereza kama cha Vannesa mdee kidogo ningemwelewa

Ila kwenye mahari yote Hiyo atakaa
Sana mpk kuiona ndoa
Aliwahi kuwa hata miss kitongoji?
 
Wasalaam wana jamvi.

Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200am ezidi kuongeza vigezo vya mwanaume anaye hitaji kumuoa au kuwa na yeye kwenye mahusiano.

Diva the boss akihojiwa na kituo fulani aliweka wazi kuwa kamwe hatoweza kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote wa bongo movie kwakuwa hawajui kingereza na yeye anapenda mwanaume mwenye akili nyingi na anayejua kingereza.

Wasalaam
Steve Nyerere ujanja wote lugha ya malkia hajui
 
Akamtoe baba yake mahabusu wamekula hela za TFF kununulia vipodozi
 
ila haya mawazo ya Diva ndiyo yana reflect mawazo ya wadada wengi wa Kitanzania. hapa muweke Diva, kule muweke Joyce Kiria, usimsahau Maimartha Jesse, halafu mjumlishe Wastara, pia mfikirie Wema, subiri kidogo, unamfahamu Aunty Ezekieli? Hawa ni role models wa wadada wengi wanaochipukia Tanzania.
 
Akipunguza mashart hadi mwanaume anaejua lugha ya kichaga nishtue
 
Wasalaam wana jamvi.

Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200am ezidi kuongeza vigezo vya mwanaume anaye hitaji kumuoa au kuwa na yeye kwenye mahusiano.

Diva the boss akihojiwa na kituo fulani aliweka wazi kuwa kamwe hatoweza kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote wa bongo movie kwakuwa hawajui kingereza na yeye anapenda mwanaume mwenye akili nyingi na anayejua kingereza.

Wasalaam
Analazimishaje watu waijue lugha ambyo c lugha yao ya taifa,wapo wengi wenye akili na hawaijui hyo lugha yy anapta wanaoijua hyo lugha na hawana akil karb anazeeka vigezo vingi mbwembwe tu
 
Wasalaam wana jamvi.

Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200am ezidi kuongeza vigezo vya mwanaume anaye hitaji kumuoa au kuwa na yeye kwenye mahusiano.

Diva the boss akihojiwa na kituo fulani aliweka wazi kuwa kamwe hatoweza kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote wa bongo movie kwakuwa hawajui kingereza na yeye anapenda mwanaume mwenye akili nyingi na anayejua kingereza.

Wasalaam
Mlangira huyo dada yko kaisiki anajisikia utafikiria anaphd ya utangazaji kumbe kabebwa tu na ruge,angechelewa kufika mjini ungekuta sasa ni stage show wa saida karoli
 
Huyu si alikua ana date na Prezoo yule wa Uganda, hivi yule si anajua kidhungu na ana mifweza na miakili mingi, walishindwana wapi!!!!? Au jamaa alimkimbiaga dampoooo!!!
 
Huyu demu atakua na bwawa lazima mie sio bongo movie pia ni mtazamo tu
 
Hakuna uhusiano wa kuwa na akili nying na ku jua lugha
 
Back
Top Bottom