Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahakimu kama walioandika hukumu ya sugu je, anaweza kuwadate?Wasalaam wana jamvi.
Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200am ezidi kuongeza vigezo vya mwanaume anaye hitaji kumuoa au kuwa na yeye kwenye mahusiano.
Diva the boss akihojiwa na kituo fulani aliweka wazi kuwa kamwe hatoweza kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote wa bongo movie kwakuwa hawajui kingereza na yeye anapenda mwanaume mwenye akili nyingi na anayejua kingereza.
Wasalaam
Mkuu Pingu na deso vipi hapo washakula kitumbua chake?KING CRAZY GK NAYE ANAJUA KIINGEREZA? PINGU NA DESO NAO WANAJUA KIINGEREZA?
ndio manake, inawezakuwa nyege zake zinapandwa kwa kumsemesha lugha ya malkia.Kwani hicho kiingereza kitamfikisha juu kabsa ya mlima Kilimanjario, aache kutapatapa na mapenz, kwa umri ule alitakiwa awe na familia yake ila hajui tu hata yeye ni bongo muvi,
PINGU NDIO WA KWANZA KWANZA KUMTAFUNA NA WAKUMEWEKA KWENYE KICHUPA CHAO CHA JONITA.Mkuu Pingu na deso vipi hapo washakula kitumbua chake?
PINGU NDIO WA KWANZA KWANZA KUMTAFUNA NA WAKUMEWEKA KWENYE KICHUPA CHAO CHA JONITA.