Wasalaam wana jamvi.
Yule mtangazaji mzuri kuliko watangazaji wote nchini na ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa yeye mahari yale haipungui million 200...amezidi kuongeza vigezo vya mwanaume anaye hitaji kumuoa au kuwa na yeye kwenye mahusiano...
Diva the boss akihojiwa na kituo fulani aliweka wazi kuwa kamwe hatoweza kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote wa bongo movie kwakuwa hawajui kingereza na yeye anapenda mwanaume mwenye akili nyingi na anayejua kingereza.....
Pia kwa habari nilizozipata ile nyumba aliyokuwa ana jenga imeporomoka kwakuwa baadhi ya mafundi walikuwa wana muibia cement na kuzidisha udongo kwenye matofali na zege hivyo ata anza kujenga upya....