Anapenda mwanaume mwenye akili na anayejua kiingereza.
Kujua lugha yoyote ile hapa duniani si dalili za kuwa na akili nyingi.
Lugha ni lugha tu na akili ni akili tu. Hivi ni vitu viwili tofauti.
YAMETIMIANasubiria nione mwisho Wa hizo hoja zake.
1. 200 mil.
2. Kiingereza.(Akili )
Ova