Diva: Siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejua kuongea kingereza

Ingekua kuna kitufe cha kudelete sehemu ya maisha,angefuta hicho kipande
ngoja watu wam-hack, kisha wamdelete lugha ya kiingereza tuu, alafu tuone atafanya nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ningemielrwa kama angesema anataka mwanamme wa kumuoa lakini awe anajua kiingeleza lakini kwa kauli yake inaonesha ni jinsi gani alivyokua Malaysia at kwamba kila mwnaume anaejua kiingereza akimu approch yeye anamkubali
 
Sasa aende wapi akaongee kizungu?
 
tehe tehe tehe diva haishi vituko khaaaaa
 
Huyu mama alitakiwa aolewe na lemutuzi,maana wanaendana mambo yao
 
Hayo maringo tu... lakin siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu. Sasa huyu atakuja kumpata mmakonde.. hata kiswahili kitakuwa shida...
 
hivi diva hajui kuna wanaume wengine wana phd kabisa lakini kujieleza kwa kimombo hawajui, na waoga kuongea na wazungu hata ukiwa na semina ya muhimu wanatakiwa kwenda nje bora wasingizie chochote lakini wasiende kwasababu wakifika kule watahitaji kujieleza kwa kimombo, na watu wakiipima phd yake na kimombo anachoongea wanaona itakuwa aibu. hao ndio wamejaa kwenye ofisi kama wakurugenzi na viongozi mbalimbali.
 
Wanawake wasiovutia ndio walivyo.

Huyo atongozwi mara kwa mara sasa kwa akili zake anadhani awamtongozi kwa sababu hawajui kiingereza kumbe wanaume wanamkwepa kwa sababu havutii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…