Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media


Wewe nani kakupa pepo,,, au unafikir pepo ni shamba kila anapata tu. Binadamu tumeumbwa na hulka za kupenda na chuki na nyingine nyingi kama wewe unampenda basi mwenzio anamalizia ampendi full stop 🛑


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Potelea pote babake huyu pimbi kazingua

Mtu ambaye kashindwa kujiheshimu kwa kufata maadili yake ya kikazi kwa watu ambao wanampa ugali sidhani kama kunasababu yeyote ya kuendelea kumfichia maovu yake kwa kigezo cha kwamba unaonesha chuki

Kwanini pale claudzi ni yeye tu mwenye mipasho ya kidwanzi?

"Mara mimi bila miliion miatano siolewi" sasa hili si tangazo la biashara anajipigia promo?

Mi nataka arudishwe ila baada ya adhabu itayomfanya ajutie ujinga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…