Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Mkuu bichwa langu linaweza kusoma maandishi yako ya kupongeza mwenzio kuzibiwa riziki yake pale kwenye kampuni ya habari ya mawingu.

Maandishi kama hayo hapo juu.
Chuki inaonekana kwenye pongezi zako, kwenye kumuelezea muonekano wa sura yake n.k.
Chuki ya kiwango hiki unaweza kuja kuwa mchawi ukizeeka. Kwani rangi ya uso wake ilikuwa inakuzibia riziki?
Akifukuzwa kazi wewe ndiyo utapewa mshahara wake?

Huwa sipendi kuongea namna hii lakini kwa chuki zako dhidi ya huyu mdada nimeona sitaingia peponi bila kukuchana 'live'.

Wewe nani kakupa pepo,,, au unafikir pepo ni shamba kila anapata tu. Binadamu tumeumbwa na hulka za kupenda na chuki na nyingine nyingi kama wewe unampenda basi mwenzio anamalizia ampendi full stop 🛑


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona umeonesha chuki kwa huyo mdada kiasi hiki?

Unashangilia kuanguka kwa mwenzio???

Inaweza kuwa jambo la faida kwake atapata muda wa kujiajiri, kusoma au kujaribu kutafuta fursa kwenye chombo kingine cha habari.

Inaweza kuwa kama kumpiga chura teke unamuongezea mwendokasi.
Potelea pote babake huyu pimbi kazingua

Mtu ambaye kashindwa kujiheshimu kwa kufata maadili yake ya kikazi kwa watu ambao wanampa ugali sidhani kama kunasababu yeyote ya kuendelea kumfichia maovu yake kwa kigezo cha kwamba unaonesha chuki

Kwanini pale claudzi ni yeye tu mwenye mipasho ya kidwanzi?

"Mara mimi bila miliion miatano siolewi" sasa hili si tangazo la biashara anajipigia promo?

Mi nataka arudishwe ila baada ya adhabu itayomfanya ajutie ujinga wake
 
Back
Top Bottom