Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Atapata kazi nyingine iliyokuwa Bora kuliko hiyo coz hakuna binadamu mkamilifu,pia atapata nafasi ya kujifunza alipojikwaa then Maisha yataendelea.Dont loose hope Diva
 
kama ni kweli Wasafi msipokee uozo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaambiwa Diva ndio source ya hii taarifa unawezaje kuanza kuamini sasa?
.
Kale kaajuza kanatengeneza stunts tu na Clouds kuna ma-master wa stunts wanaweza hata kumuweka nje ya ofisi kwa mwezi mzima na wapuuzi wakaamini.
Tuwe tu wakweli nani anaweza kuwa replacement ya Diva pale CMG na nje ya CMG?
 
Na ile sura sijui atamdangia nani tena..maana tofauti na clouds hana kitu kingine kinachompa Thamani..

Shenz kabisa
😂😂😂
Ulikuwa wapi kuunena ujumbe huu hapo kabla..?
Nyie ndionaonekana wazikaji
Mnasubiri mtu apatwe tu mumpe vyake!😂
 
Huko Usafini leo itakuwa ni sherehe tu kwenda mbele.🌚
 
Screenshot_2020-04-15-17-52-55-738_com.instagram.android-01.jpeg
 
Habari za ivi punde ni kuwa mdada mwenye sura zaidi ya 100

leo wa blue kesho wa njano keshokutwa darkwhite amefukuzwa kazi cloud's kutokana na utovu wa nidhamu

Nawapongeza clouds kwa kumtimua uyu mdada kutokana na dharau zake zilizovuka mikapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanamke mwenzio kapata shida unafurahia
 
Back
Top Bottom