Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

siri ya mtungi aijuaye kata, brah brah nyingi lakini mwisho wa siku ukweli upo mioyoni mwa wahusika.
lkn waajiri wanaingiliwa wakifukuza wafanyakazi hovyo hovyo, kama ana mkopo benki na alidhaminiwa na taasisi basi deni linalipwa na taasisi.
maslahi mengine ikiwa malipo ya likizo ikiwa katika mwaka husika hajaenda na nk.

muajiri anaweza kuvuruga mazingira ili uache mwenyewe kuepuka gharama upande wake.
 
labda private sector maana serikalini ujinga huko hakuna.......
 
Watangazaji wasomi ndio wanahitajika zaidi wakati huu, sasa huyu na usomi wake wote na kiingereza chake akikimbia kazi si atazidisha ombwe la upungufu wa wanahabari wasomi?
mmhh kasomea wapi uwanahabari yulee mmhh..maana mzee tu picha linaanza ni mwizi wa mpira weetu
 
Dozen ka expire vp mkuu mbona badooo clouds ilikua inamhitaji sanaa.
ukisema dozen kaexpire na wale wengne wale akina sudi na mwenzake idd ..kila siku wanatoa taarfa za wcb maana content za kipind zilikuwa hakuna wanalazimika kutangaza taarfa za wcb sikuhizi..ndomaana mkubwa mfella alisema uji uliopoa hauunguzi tena
 
Watangazaji wasomi ndio wanahitajika zaidi wakati huu, sasa huyu na usomi wake wote na kiingereza chake akikimbia kazi si atazidisha ombwe la upungufu wa wanahabari wasomi?
Yaan form 6 'felia' Kenton-Mwenge, na kidiploma cha chupi c.b.e,now ndo anaunga unga Tumain college hata certificate hajapata ndo msomi wa kusemwa?

Msomi labda ukimlinganisha na dr kumbuka,Steve Nyerere[emoji38][emoji2]

Umelikosea sana hili neno usomi.
 

Thank you, I got what i want.
 
Ni msomi kwa kiasi chake. Kufeli form 6, haiwezi kuwa sababu ya kumzuia mtu asifanikiwe kimasomo katika hatua nyingine Ndugu. Cha msingi ni kutokata tamaa pale ulipoangukia. Wapo wasomi wazuri tu waliopitia mfumo wa kuunga_unga na malengo yao yakafanikiwa.
 
Angekuwa mzungu angeolewa na Rasta Chalii ya Arusha!!!
Ataolewa kwa kuwa ana fedha, vijana kama Heri Muziki na wengine ambao hatuwafahamu wako naye kwa sababu ya fedha.

Hawezi kukosa wa kumuoa.
 
Ataolewa kwa kuwa ana fedha, vijana kama Heri Muziki na wengine ambao hatuwafahamu wako naye kwa sababu ya fedha.

Hawezi kukosa wa kumuoa.
Kiufupi hakuna waoaji wa namna hiyo, hao unaowasema ni vijana wadangaji. Wanavuta maisha tu.

Yaani kijana na akili zako timamu unawezaje kwenda kuoa kibibi kilichokwenda umri, chenye nyodo balaa, kimechoka kwa kupigwa miti ovyo ovyo, kinadaiwa kutoa mimba mpaka kizazi kimechakaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…