Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
Huyu jamaa namiss sana pale mjengoniwapi musa hussein??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa namiss sana pale mjengoniwapi musa hussein??
Angekuwa mzungu angeolewa na Rasta Chalii ya Arusha!!!Kakaolewe sasa maana kanakaribia menopause!
Ana taaluma ya Mass com or related huyu? Mbona anavyovifanya haviendani!!Watangazaji wasomi ndio wanahitajika zaidi wakati huu, sasa huyu na usomi wake wote na kiingereza chake akikimbia kazi si atazidisha ombwe la upungufu wa wanahabari wasomi?
labda private sector maana serikalini ujinga huko hakuna.......Na hii ni mojawapo ya mbinu tunakutana nazo sana maofisini, yaan
1. Wenye chao wamekuchoka na hawakutaki ndio hivyo usha expire wanataka ingizo jipya.
2. Kuku chana live wanaona sio labda kwasababu ya reputation yako na legacy uliowajengea plus mazoea na kuheshimiana kutokana na kufanya naobkwaz kwa muda mrefu.
Sasa basi wanakuondoaje waswahili?
Wanaanza kukutengenezea mazingira ya frustration nzito nzito za mara kwa mara ambazo u cant bear, na hiz wanazi channel kwenye utaratibu wa kikazi kabisaa kiasa kwamba huoni mtu personally kasimama on your way against you (mpaka uchimbe sana yan ndio utajua chanzo cha shida zote).
Basi wewe mwenyewe unaona isiwe tabu, acha nitembee zangu.
Unakuja na uamuzi wa kuacha kazi, basi watu wanashtuka kinafki nafki pale but hawakupi chance kusema nenda ufikirie kisha urudi tena tuzungumzee ....hahahahahaha.
Jua tayari.
UNAONA KAMA UME STAND FOR YOUR DECISIONS kumbe umejaa kwa 18 zao.
THEY INFLUENCED, PREDICTED AND EXPECT YOUR MOVE.
chaliiiiiii
Naizungumia private sector mkuu.Wewe huko serikalin tulia tuuuuulabda private sector maana serikalini ujinga huko hakuna.......
Alipewa suspension ya muda... baadae akarudishwa.Na mm nimejiuliza hilo, maana kuna time hum hum ni kama niliskia amekua fired pale mawingu
OkayyyAlipewa suspension ya muda... baadae akarudishwa.
mmhh kasomea wapi uwanahabari yulee mmhh..maana mzee tu picha linaanza ni mwizi wa mpira weetuWatangazaji wasomi ndio wanahitajika zaidi wakati huu, sasa huyu na usomi wake wote na kiingereza chake akikimbia kazi si atazidisha ombwe la upungufu wa wanahabari wasomi?
kituo kile kimeshakufa jamani tuwe wakweli wadau..mule ndani hakuna lolote tena...wanatakiwa wajitathmni wale wote wanakwenda wapiAlipewa suspension ya muda... baadae akarudishwa.
ukisema dozen kaexpire na wale wengne wale akina sudi na mwenzake idd ..kila siku wanatoa taarfa za wcb maana content za kipind zilikuwa hakuna wanalazimika kutangaza taarfa za wcb sikuhizi..ndomaana mkubwa mfella alisema uji uliopoa hauunguzi tenaDozen ka expire vp mkuu mbona badooo clouds ilikua inamhitaji sanaa.
Yupo wa kumuoa kama huyo?. Au zile zile za kuji-show,siku 2 oa haipo tenaKakaolewe sasa maana kanakaribia menopause!
Yaan form 6 'felia' Kenton-Mwenge, na kidiploma cha chupi c.b.e,now ndo anaunga unga Tumain college hata certificate hajapata ndo msomi wa kusemwa?Watangazaji wasomi ndio wanahitajika zaidi wakati huu, sasa huyu na usomi wake wote na kiingereza chake akikimbia kazi si atazidisha ombwe la upungufu wa wanahabari wasomi?
Yaan form 6 'felia' Kenton-Mwenge, na kidiploma cha chupi c.b.e,now ndo anaunga unga Tumain college hata certificate hajapata ndo msomi wa kusemwa?
Msomi labda ukimlinganisha na dr kumbuka,Steve Nyerere[emoji38][emoji2]
Umelikosea sana hili neno usomi.
Ni msomi kwa kiasi chake. Kufeli form 6, haiwezi kuwa sababu ya kumzuia mtu asifanikiwe kimasomo katika hatua nyingine Ndugu. Cha msingi ni kutokata tamaa pale ulipoangukia. Wapo wasomi wazuri tu waliopitia mfumo wa kuunga_unga na malengo yao yakafanikiwa.Yaan form 6 'felia' Kenton-Mwenge, na kidiploma cha chupi c.b.e,now ndo anaunga unga Tumain college hata certificate hajapata ndo msomi wa kusemwa?
Msomi labda ukimlinganisha na dr kumbuka,Steve Nyerere[emoji38][emoji2]
Umelikosea sana hili neno usomi.
Wapo, vijana kama Heri Muziki!Yupo wa kumuoa kama huyo?. Au zile zile za kuji-show,siku 2 oa haipo tena
Ataolewa kwa kuwa ana fedha, vijana kama Heri Muziki na wengine ambao hatuwafahamu wako naye kwa sababu ya fedha.Angekuwa mzungu angeolewa na Rasta Chalii ya Arusha!!!
Kiufupi hakuna waoaji wa namna hiyo, hao unaowasema ni vijana wadangaji. Wanavuta maisha tu.Ataolewa kwa kuwa ana fedha, vijana kama Heri Muziki na wengine ambao hatuwafahamu wako naye kwa sababu ya fedha.
Hawezi kukosa wa kumuoa.
Wapi Babla Hassanwapi musa hussein??